Dalili za saratani ya ini
Posti hii inahusu zaidi dalili za saratani ya ini, ni baadhi ya Dalili ambazo zinaweza kujitokeza na kuona kwamba mtu fulani ana saratani ya ini.
Dalili za saratani ya ini.
1. Ngozi kuwa na rangi manjano na uwepo wa macho makavu.
Kwa kawaida ini likishambulia Usababisha ngozi kuwa na rangi ya manjano na pia kwenye macho panakuwepo na ukavu fulani hivi , ukiona mgonjwa wako ana Dalili kama hizi ni vizuri kabisa kufatilia matibabu au kupata ushauri kwa wataalamu wa afya.
2. Kuvimba kwa tumbo.
Kwa kawaida kama kuna maambukizi kwenye inni na hiyo tumbo uvimba sana na hali ya kupumua ubadilika kwa sababu ya kutojisikia vizuri na mgonjwa kwa ujumla huwa najisikii vizuri kwa hiyo vipimo ni lazima.
3. Kuchoka na kuwa dhaifu wa mda mrefu
Kwa kawaida kwa sababu ya kutokuwepo kwa hali ya mwili kutokuwa vizuri kwa hiyo mgonjwa uwa anajihisi dhaifu kwa mda mrefu hii ni kwa sababu ya ini kushindwa kufanya kazi vizuri,
4. Kukosa hamu ya kula na kupelekea kupungua kwa uzito.kwa sababu ya mwili kuwa mzito mgonjwa kwa kawaida ikiwa hamu ya kula pia na kupelekea kupungua kwa uzito.
5. Maumivu ya tumbo hasa katika eneo la kati kwenye upande wa ini kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye inn.
6. Miguu kuvimba.
Kwa kawaida kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi miguu nayo uanze kuvimba.
7. Kuongezeka kwa kasi ya mapigo ya moyo.
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye ini na vile vile kasi ya mapigo ya moyo nayo uongezeka kwa kasi sana.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Ugonjwa wa kisonono, sababu zake nanjia za kujilinda.
Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke.
Soma Zaidi...Sababu na Chanzo cha vidonda vya tumbo
Zijuwe sababu za kutokea kwa vidonda vya tumbo. Sababu kuu za vidonda vya tumbo hizi hapa
Soma Zaidi...Nini husababisha Fangasi sehemu za Siri
Katika somo hili tutaeleza sababu kuu zinazopelekea kupata fangasi sehemu za siri, mazingira yanayochochea kuongezeka kwa fangasi, pamoja na vitu vinavyochangia maambukizi na kurudia-rudia kwa tatizo.
Soma Zaidi...Dalili za saratani ya ini.
posti inaonyesha dalili mbalimbali za Saratani ya ini. Saratani ya ini ni Saratani inayoanzia kwenye seli za ini lako. Ini lako ni kiungo cha ukubwa wa mpira wa miguu ambacho kinakaa sehemu ya juu ya kulia ya tumbo lako, chini ya diaphr
Soma Zaidi...Dalili za tezi dume ambayo hazijashuka (cryptorchidism)
Tezi dume ambayo haijashuka si ya kawaida kwa ujumla, lakini ni ya kawaida kwa wavulana waliozaliwa kabla ya wakati.na muda mwingine zikipanda tumboni huwa hazishuki kabisa kwenye korodani.
Soma Zaidi...Mambo ya kuzingatia kabla ya upasuaji,
Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili.
Soma Zaidi...