Dalili za Saratani ya utumbo mdogo.

Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo

Dalili na ishara za saratani ya utumbo mdogo ni pamoja na:

1. Maumivu ya tumbo

 

2. Ngozi kuwa na manjano na weupe wa macho (jaundice)

 

3. Kuhisi udhaifu au uchovu usio wa kawaida

 

4. Kichefuchefu

 

5. Kutapika

 

6. Kupungua uzito

 

7. Damu kwenye kinyesi, ambayo inaweza kuonekana nyekundu au nyeusi

 

8. Kuhara kwa maji

 

    Jinsi ya kujizuia na ugonjwa wa Saratani ya utumbo mdogo.

1. Kula aina mbalimbali za matunda, mboga mboga na nafaka.  Matunda, mboga mboga na nafaka nzima zina vitamini, madini, nyuzinyuzi ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari  ya saratani na magonjwa mengine.  

 

2. Punguza kunywa pombe kupita kuasi ikiwezekana acha kabisa.  Ukichagua kunywa pombe, punguza kiwango cha pombe unachokunywa kisizidi kinywaji kimoja kwa siku .

 

3. Acha kuvuta sigara. Tafuta njia mbadala ambazo zitakutengenezea mazingira ya kuacha kabisa kuvuta sigara au kutumia tumbaku.

 

4. Fanya mazoezi .  Jaribu kupata angalau dakika 30 za mazoezi.

 

5. Punguza uzito wako kama ni mkubwa kulingana na afya yako.  Ikiwa una uzito mzuri, fanya kazi ili kudumisha uzito wako kwa kuchanganya chakula cha afya na mazoezi ya kila siku.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/12/09/Thursday - 08:36:35 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 619

👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Nini chanzo cha malaria
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu chanzo cha ugonjwa wa malaria Soma Zaidi...

Dalili za madonda ya koo
Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya koo, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu ya koo la hewa, na na huwa na dalili zake kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Maumivu, kizunguzungu, kichefuchefu na kutoka na damu ni dalili zamimba?
Je unapata dalili zisizoeleweka ni ni za mimba ama laa. Hapa nitakujuza hali baadhi ya wanawake zinazowatokea. Soma Zaidi...

Mzio (aleji) na Dalili zake
Posti hii inahusu zaidi mzio na Dalili zake ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mtu mwenye mzio, kuna wakati watu wengine ushindwa kutambua kuwa ni mzio au la, lakini leo tunaenda kujua Dalili za mzio kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Dalili za mtu aliyegongwa na nyoka
Post hii inahusu zaidi dalili za mtu aliyegongwa na nyoka, nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na sumu ikiingia mwilini mtu huwa na dalili mbalimbali Soma Zaidi...

Dalili za ugonjwa wa fungusi uken
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa fungusi uken, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu za Siri ambao huwa na dalili kama zifuatazo. Soma Zaidi...

Dalili za kipindupindu na njia za kujilinda na kipindupindu.
Post hii inazungumzia zaidi kuhusiana na ugonjwa wa kipindupindu.kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu anaitwa vibrio cholera.mdudu huyu hushambulia utumbo mdogo na kusababisha madhara mengi. Soma Zaidi...

Dalili za kuvimbiwa kwa watoto.
Kuvimbiwa kwa watoto ni shida ya kawaida. Kuvimbiwa kwa watoto mara nyingi huonyeshwa na kinyesi kisicho kawaida au kinyesi ngumu na kavu. Soma Zaidi...

Maambukizi ya tishu ya Matiti.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na maambukizi ya tishu ya matiti ambayo husababisha'maumivu ya matiti, uvimbe, joto na uwekundu. Pia unaweza kuwa na'Homa'na baridi. Ugonjwa huu huwapata zaidi wanawake wanaonyonyesha ingawa wakati mwingine hali hi Soma Zaidi...

Dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanawake
Somo hili linakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanawake Soma Zaidi...

Yajue matatizo yanayosababisha Ugonjwa wa akili.
Madhara ya ugonjwa wa akili yanaweza kuwa ya muda au ya kudumu. Unaweza pia kuwa na zaidi ya ugonjwa mmoja wa afya ya akili kwa wakati mmoja. Kwa mfano, unaweza kuwa na ulegevu na ugonjwa wa matumizi ya madawa ya kulevya. Soma Zaidi...

Kiungulia na tiba zake kwa wajawazito.
Posti hii inahusu kiungulia kwa wanawake wajawazito na tiba yake, ni ugonjwa au hali inayowapata wajawazito walio wengi kwa sababu ya kuwepo kwa mabadiliko ya homoni wakati wa ujauzito. Soma Zaidi...