Dalili za U.T.I

Dalili za U.T.I

'UTI (urinary tract infection) no ugonjwa wa maambukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya husababishwa na bacteria, fangasi,na virus. Pia unaweza athiri rethra, kibofu Cha mkojo na figo.lakini Mara nyingi UTI huathiri Hadi mfumo wa uzazi na w

    Dalili za UTI (urinary tract infection)

-kukojoa Mara kwa Mara nakuwa na maumivu makali wakati wa kukojoa

-kuhisi kuunguzwa na mkojo 

-maumivu ya misuli ya tumbo

-mkojo kutoka na harufu mbaya na kubadilika rangi kuwa mawingu 

-kushikwa na hamu ya kukojoa Ila mkojo unatoka kidogo

    Namba ya kujikinga dhidi ya UTI

-kunywa maji mengi na yawe Safi na salama

-vaa nguo za ndani zenye pamb na ambazo haIbani ili kuruhusu hewa kupita-

Epuka kushiriki tendo la ndoa kama una UTI(sexual intercourse)

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 3644

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Dalili za mimba wakati wa ovulation

​Kipindi cha baada ya yai kuachiliwa (ovulation) hadi kufikia tarehe ya hedhi inayofuata hujulikana kama Luteal Phase. Hapa ndipo wanawake wengi wanaotafuta ujauzito huanza kuchunguza mabadiliko ya miili yao. Makala haya yanajadili dalili za mapema za mimba zinazoweza kujitokeza siku chache baada ya ufertilishaji, jinsi ya kutofautisha dalili hizi na zile za hedhi ya kawaida (PMS), na ukweli wa kitaalamu kuhusu lini unapaswa kupima mimba.

Soma Zaidi...
Mazoezi 5 rahisi ya kupunguza uzito na kuimarisha moyo.

Mazoezi ya moyo (cardio) ni ufunguo wa kuchoma mafuta, kuimarisha misuli ya moyo, na kuboresha mfumo mzima wa mzunguko wa damu. Sio lazima uwe na vifaa vya gharama au kujiunga na ukumbi wa mazoezi ili uweze kufanya mazoezi yenye tija. Makala haya yanakuletea mazoezi 5 rahisi, yanayopatikana, na yenye ufanisi mkubwa ambayo unaweza kuyafanya popote pale ili kuanza safari yako ya kupunguza uzito na kulinda afya ya moyo wako.

Soma Zaidi...
Masharti ya vidonda vya tumbo

Haya ni masharti ya mwenye vidonda vya tumbo. Mgojwa wa vidonda vya hatumbo hatakiwi kufanya yafuatayo

Soma Zaidi...
Maambukizi ya VVU: Dalili za mwanzo na jinsi ya kuishi nayo.

​Makala hii inachunguza kwa kina virusi vya VVU (Virusi vya Upungufu wa Kinga Mwilini), ikianzia na utambuzi wa dalili za mwanzo (acute HIV infection), umuhimu wa upimaji wa mapema, na mikakati ya kisayansi ya kuishi maisha marefu na yenye tija kwa kutumia tiba ya kufubaza virusi (ART). Lengo ni kuondoa unyanyapaa na kutoa mwongozo wa kitaalamu kwa watu wanaoishi na VVU.

Soma Zaidi...
Kuungulia kwa moyo (Heartburn): Chanzo na njia za kupunguza.

Kuungulia kwa moyo—hali ile ya kuhisi moto au maumivu yanayotokea nyuma ya mfupa wa katikati ya kifua—ni tatizo linalowasumbua watu wengi. Licha ya jina lake, tatizo hili halina uhusiano wowote na moyo; linahusu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Makala haya yanakupa mwongozo wa kile kinachosababisha hali hii na hatua unazoweza kuchukua ili kupata nafuu.

Soma Zaidi...
Dalili za mtu aliyegongwa na nyoka

Post hii inahusu zaidi dalili za mtu aliyegongwa na nyoka, nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na sumu ikiingia mwilini mtu huwa na dalili mbalimbali

Soma Zaidi...