Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri ambao kwa kitaalamu huitwa herpes zoster. Kwa hiyo ili kugundua kubwa mtu ana Ugonjwa huu Dalili kama hizi zifuatazo zinaweza kutokea kwa mgonjwa.
Dalili za Ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye sehemu za siri.
1.mgonjwa anakuwa na maumivu kwenye sehemu za siri na kwenye midomo.
Maumivu haya utokea kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi ambayo ufanya midomo kubwa na mipasuko na kwenye sehemu za siri hivyo kunakuwepo na mipasuko ambayo Usababisha maumivu.
2.Rangi ya midomo ubadilika rangi na kuwa nyekundu hivyo hivyo na kwenye sehemu za siri uwa nyekundu kwa sababu ya kuwepo kwa wadudu ambao Usababisha kubadilisha rangi ya kawaida kwenye midomo na kwenye sehemu za siri.
3.Kuwa na miwasho kwenye midomo na hasa hasa kwenye sehemu za siri, kwa hiyo mda mwingi utaona Mgonjwa anajikuna kuna sana kwenye sehemu za siri kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi na virusi ambavyo Usababisha kuwasha sehemu hizo.
4.Kuwepo kwa vi uvimba vidogo vidogo vyenye maji ambavyo kwa kitaalamu huitwa brister na uweza kupasuka pasuka na kutoa maji maji ikiwa hayo maji yakimgusa mtu mwingine anaweza kupata Ugonjwa huu kwa hiyo ni vizuri na kuwa makini katika kujilinda kama mwenzetu amepatwa na Ugonjwa huo.
5.Pia ugonjwa huu kwa kawaida ushambulia sehemu laini kama kwenye midomo na sehemu za siri, inaweza kutokea wadudu hao wanasambaza kutoka kwenye midomo na kufika kwenye sehemu ya jicho ambapo Usababisha matatizo kwenye macho na kwa wakati mwingine tatizo lisipogundulika mapema Mgonjwa anaweza kuwa na shida ya kuona.
6.Kwa hiyo baada ya kuona dalili za ugonjwa huu tunapaswa kuwasaidia wagonjwa wetu na kuhakikisha kuwa ugonjwa huu hausambai kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Kwa wale wenye Magonjwa yaanayosababisha kinga kushuka tumieni dawa zinazopaswa na kula mlo kabili na dalili hizi zitatoweka na hali ya mgonjwa itakuwa kawaida.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dalili za mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa matibabu kwenye nyonga na kiuno hayatafanyika.
Soma Zaidi...Coma ni hali ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu ambayo inaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali Jeraha la Kichwa, Kiharusi, Uvimbe kwenye ubongo, ulevi wa dawa za kulevya au pombe, au hata ugonjwa wa msingi,
Soma Zaidi...Je kujaa kwa mate mdomoni ni dalili ya kuwa na VVU, na je ni zipi dalili za Virusi Vya Ukimwi (VVU) mdomoni?
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na tatizo la damu kutokufikia tishu baada ya kutokea jeraha kwenye tishu ambao hujulikana Kama gangrene inahusu kifo cha tishu za mwili kutokana na ukosefu wa mtiririko wa damu au maambukizi ya bakteria. Ugonjwa wa gangre
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna au njia za kuepuka na Ugonjwa huu wa ngiri ambao uleta madhara kwa watoto, vijana na watu wazima, kwa hiyo ili tuweze janga hili ni lazima tufanye yafuatayo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea pale ambapo Ugonjwa wa ngiri unaposhindwa kutibiwa mapema.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa tauni ambao kwa kitaalamu huitwa plague ni Ugonjwa unaosababishwa na wadudu ambao huitwa kitaalamu huitwa yersinia pestis ambao ukaa ndani ya panya.
Soma Zaidi...