Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa macho, ugonjwa huu kwa kawaida una dalili kuu tano kadri ya maambukizi yanavyoongezeka na madhara yake kwa hiyo tunapaswa kujua dalili hizo Kama ifuatavyo.
1. Dalili ya kwanza ni pale mdudu anapotua kwenye jicho na jicho hilo kwa kawaida uanza kuwa jekundu,kuwashwa, kuwa maji maji yanayotoka kwenye jicho yanaweza kuwa yote mawili au Moja na pengine kadri siku zinavyoenda jicho linaweza kuwa na mayongo to go kila mara , kwa hiyo kama ni mtoto mdogo wazazi wanapaswa kuwa macho Ili kuweza kumsaidi kwa kumpatia matibabu mapema.
2. Dalili ya pili ni pale maambukizi yanavyozidi ndivyo yanaendelea kuwa na uvimbe kwenye jicho ambao kwa kitaalamu huitwa oedema, uvimbe huh unaweza kuwa juu ya jicho na pengine unatoa usaha au maji maji kwa hiyo ikitokea uvimbe huu ukapsuliwa na maji maji yakagusa kwenye jicho la mtu ambaye Hana maambukizi ndio mwanzo wa maambukizi kuanza
3. Katika hatua hii ya tatu maambukizi uzidi na kusababisha uvimbe ulipokuwa kwenye jicho kutengeneza kofu kwenye jicho na kukaribia kufunika jicho Ilo kovu kwa upande mwingine linaweza kuwa na maumivu au kutokuwepo kwa maumivu kwa hiyo kwenye hatua hii ugonjwa unaweza kutibika ni vizuri kabisa kutibu maana ukizidi hapa ni hatari.
4. Hatua hii ya nne ni pale maambukizi yakizidi zaidi ambapo kovu lililotengenezwa kuwa kubwa na kuongezeka kwenye jicho na kukaribia kufunika jicho na sehemu mbalimbali za jicho ubadilika kwa hatua hii mtu uanza kuona kwa shida, hatua hii upasuaji ni wa lazima kwa sababu kupona ni vigumu.
5. Hatua ya tano na ya mwisho ni pale ambapo mtu anashindwa kuona kabisa yaani makovu yanafunika jicho na pia kabla ya hapo mtu uanza kuona maluwe luwe hatimaye jicho Linaziba kabisa ndo upofu unatokea, kwa hiyo tunapaswa kuelewa kuwa ugonjwa huu unatibika sana na dawa zipo kwa wingi hospitalini kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka wagonjwa wetu hospital Ili waweze kupata huduma inayofaa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo utumiwa Ili kuweza kuzuia kuwepo ugonjwa wa kisonono, kwa kufuata njia hizi ugonjwa huu wa kisonono unaweza kupungua kwa kiasi au kuisha kabisa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu ugonjwa wa Bawasiri na dalili zake. Pia utajifunza njia za kujilinda nao.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia au mbinu ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuepuka kuwepo kwa ugonjwa wa Bawasili kwenye jamii, hizi ni njia za awali za kupambana na kuwepo kwa Ugonjwa wa Bawasili.
Soma Zaidi...Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni, ni njia zinazotumika kuzuia maambukizi kwenye nephroni
Soma Zaidi...Homa hii inapatikana katika maeneo ya bonde la ufa barani Afrika na na Mashariki ya kati.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa akili .
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za kupunguza maumivu na kazi zake, ni dawa ambazo upunguza maumivu kwenye mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Hapautajifunza rangi kuu za mkojo na dalili zako kiafya, mkojo mchafu na dalili zake
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kujibu swali la muulizaji. Kuhusu syyle za tendo la ndoa
Soma Zaidi...