Dalili za ugonjwa wa vericose veini

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa vericose veini

Dalili za ugonjwa wa vericose veini 

1. Dalili ya kwanza ni maumivu ya mishipa ya damu hasa kwenye miguu.

 

2. Mishipa ya damu kuonekana ya rangi ya kijani sana pamoja na kuvimba hasa kwa watu weupe.

 

3. Maumivu ya miguu hasa katika eneo lililoadhiriwa  na tatizo.

 

4. Miguu kuwaka moto.

 

5. Maumivu makali hasa kwenye sehemu iliyo na tatizo.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/18/Monday - 11:47:40 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 580


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-