Dalili za za kuwepo kwa maambukizi chini ya kitovu

Dalili za za kuwepo kwa maambukizi chini ya kitovu

Posti hii inahusu zaidi dalili za kuonyesha kuwa Kuna maambukizi kwenye kitovu hasa hasa chini ya kitovu.

Dalili za kuwepo kwa maambukizi chini ya kitovu.

1. Kwanza kabisa dalili ya kwanza kuonyesha kuwa Kuna maambukizi chini ya kitovu ni kuwa maumivu yanaweza kuwa chini ya kitovu, Kati kati ya kitovu, kulia na kushoto kwa kitovu pia Kuna Yale yanayoweza kusambaa 

 

2. Pia maumivu mengine chini ya kitovu uwapata wanawake wale wanaopenda kufanya mapenzi  mara kwa mara na wanaume mbalimbali kwa mara nyingi.

 

3. Na pia Kuna maumivu ambayo uwapata wanawake wakiwa wameinama  , wakati wa kunyanyua vitu vizito, wakati wa kucheka au kuvimba , na wengine wakati wamelala kifudifudi.

 

4. Baada ya kuona maumivu ya namna hii ni njia ya kuona wazi kwamba Kuna maambukizi chini ya kitovu na matibabu ni lazima.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 2701

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Tetekuwanga kwa watu wazima: Ni hatari zaidi?

Tetekuwanga (Varicella) kwa kawaida huchukuliwa kama ugonjwa wa utotoni, na watoto wengi huupata na kupona bila matatizo makubwa. Hata hivyo, unapoupata ukiwa mtu mzima, hali inabadilika. Tetekuwanga kwa watu wazima huchukuliwa kuwa na hatari zaidi, ikiwa na uwezekano mkubwa wa kusababisha dalili kali na maambukizi ya viungo muhimu kama mapafu. Makala haya yanafafanua kwa nini hali hii ni hatari na nini unapaswa kufanya.

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa kisonono, sababu zake nanjia za kujilinda.

Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke.

Soma Zaidi...
Maumivu ya magoti.

Maumivu ya magoti ni malalamiko ya kawaida ambayo huathiri watu wa umri wote. Maumivu ya goti yanaweza kuwa matokeo ya jeraha, kama vile ligament iliyopasuka au cartilage iliyochanika.

Soma Zaidi...
Athari za kula vyakula vyenye sukari nyingi kila siku.

Katika ulimwengu wa sasa, sukari imekuwa kiungo kikuu katika vyakula vingi vilivyosindikwa, hali inayochangia kwa kiasi kikubwa magonjwa yasiyoambukiza. Makala haya yanachambua athari za muda mrefu za ulaji wa sukari nyingi, ikizingatia afya ya moyo, uzito wa mwili, na utendaji wa kimetaboliki, huku ikitoa mikakati ya kitaalamu ya kupunguza matumizi ya sukari kwa maisha marefu na yenye tija.

Soma Zaidi...
Njia za kuzuia uwepo wa ugonjwa wa Bawasili.

Posti hii inahusu zaidi njia au mbinu ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuepuka kuwepo kwa ugonjwa wa Bawasili kwenye jamii, hizi ni njia za awali za kupambana na kuwepo kwa Ugonjwa wa Bawasili.

Soma Zaidi...
Mawe kwenye figo: Sababu na jinsi ya kuepuka.

​Mawe kwenye figo (kidney stones) ni mkusanyiko mgumu wa madini na chumvi zinazotengenezwa ndani ya figo zako. Ingawa mawe haya yanaweza kuonekana madogo, kupita kwao kupitia njia ya mkojo kunaweza kusababisha maumivu makali sana. Makala haya yanaelezea kwa kina kile kinachosababisha mawe haya, jinsi ya kuyatambua, na mikakati madhubuti ya lishe na maisha ili kuzuia kutokea tena.

Soma Zaidi...