DAWA YA CARVEDILOL NA KAZI YAKE.


image


Posti hii inahusu zaidi dawa ya Carvedilol na kazi yake, ni dawa inayotibu au kuzuia mapigo ya moyo ambayo yako juu na kusababisha kulegeza kwa mishipa ya moyo.


Kazi ya Carvedilol.

1. Dawa ya Carvedilol ni mojawapo ya Dawa ambazo usaidia kushusha presha kama iko juu , ufanya kazi hii kwa kuhakikisha kwamba mishipa ya moyo imelegezwa kwa sababu mishipa ya moyo kama imebana usababisha presha kuwa juu kwa hiyo dawa hii ikitumika usababisha mishipa kuregea na mapigo ya moyo kuwa kawaida.

 

2.pia dawa hii inatabia ya kushusha sukari, kwa hiyo mgonjwa wa matatizo ya moyo kabla ya kutumia Dawa hii anapaswa kupima kiwango cha sukari mwilini, kama iko chini hapaswi kutumia kwa sababu anaweza kushusha zaidi, kwa hiyo watu wenye matatizo ya sukari kushuka wanapaswa kuwa makini.

 

3.Dawa hii pia usaidia kuzuia kupatwa kwa ghafla ugonjwa wa moyo ambao kwa kitaalamu huitwa heart attack, ambapo mgonjwa uwea kuzimia ghafla na pengine kupoteza fahamu, pamoja na kuwepo kwa dawa hii ya Carvedilol kuna dawa Ambazo ufanya kazi kama ya Carvedilol ambazo ni Atenolo, propanol and labetalo, kwa hiyo dawa hizi zisitumike kiholela zinapaswa kutumika kwa ushauri wa daktari na wataalamu wengine wa afya.

 

4. Katika kutumia dawa hizi kuna maudhi madogo madogo ambayo yanaweza kutokea kama vile  kizungu Zungu, mwili mzima kuchoka, kushuka sana kwa mapigo ya moyo, kuharisha kuongezeka kwa uzito, na kushusha sukari, kwa hiyo Mgonjwa akihisi dalili kama hizi anapaswa kujua kuwa ni kwa sababu ya dawa anazozitumia kwa hiyo maudhi mengine ni ya hatari yanapaswa kufanyiwa kazi mapema kama vile presha kushuka kuzidi kiasi kwa sababu hii ni hali ya hatari kwa mgonjwa.

 

5. Dawa hii haipaswi kutumiwa na watu mbalimbali kama vile wenye Asthma kali kwa sababu inaweza kupasua sehemu mbalimbali ambazo zinahusika kwenye mfumo wa hewa, kwa hiyo mwenye presha anapaswa kujua hili kwa sababu ya kuwepo kwa matatizo kwenye upumuaji, hata mgonjwa anapaswa kuwa wazi pindi hawapo hospitali na inabidi ajieleze wazi ili kuepuka matatizo mengine na jamii inapaswa kujua matumizi mazuri ya Dawa hii.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Sheria za kutunza usafi wakati wa upasuaji.
Posti hii inahusu zaidi sheria za kutunza usafi wakati wa upasuaji, iwapo sheria mojawapo ikienda kinyume ijulikane kuwa usafi haujaenda sawa na pengine kwa kitaalamu huitwa contamination. Soma Zaidi...

image Habari nasumbuliwa na tumbo upande wakilia adi nikikojoa mkojo wa mwisho uwa wa kahawia tiba take nini?
Maumivu ya tumbo yanaweza kusababishwa na mambo mengi ikiwemo typhod, vidonda vya tumbo na shida nyingine kwenye mfumo wa chakula. Soma Zaidi...

image Upungufu wa vyakula vya madini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vyakula vya madini Soma Zaidi...

image Mambo yanayohitajika kabla ya kuanza upasuaji
Posti hii inahusu zaidi mambo yanayohitajika kabla ya kuanza upasuaji ni mambo muhimu ambayo yanapaswa kufanyika kwanza na baadaye upasuaji unaweza kuendelea. Soma Zaidi...

image Choo kisichokuwa cha kawaida
Posti hii inahusu zaidi Aina ya choo kisichokuwa cha kawaida, ni dalili za choo ambacho siyo Cha kawaida, Ina maana ukiona dalili za choo Cha Aina hii ni vizuri kwenda hospitalini Ili kupata matibabu. Soma Zaidi...

image Dalili za kifua kikuu (tuberculosis)
Kifua kikuu ni ugonjwa sugu wa kuambukiza na anuwai ya magonjwa ya kiafya yanayosababishwa na Mycobacterium tuberculosis complex. Kwa binadamu sababu ya kawaida ni Mycobacterium tuberculosis. Soma Zaidi...

image Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua. Soma Zaidi...

image Njia za kukabiliana na presha ya kupanda/hypertension
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kupanda Soma Zaidi...

image Dawa za fangasi ukeni
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za fangasi ukeni Soma Zaidi...

image Aina za vidonda.
Posti hii inahusu zaidi aina kuu za vidonda,kuna aina kuu tatu za vidonda ambapo kila aina utumiwa kwa njia yake kama tutakavyoona hapo chini. Soma Zaidi...