Dawa ya chango na maumivu ya hedhi

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na maumivu ya hedhi

Dawa ya chango na dawa maumivu ya tumbo la hedhi.Ni hali ya kawaida kwa mwanmke kupatwa na maumivu akikaribia hedhi ama anapokuwa kwenye hedhi. Hali hii haihitaji hata uangalizi wa daktari. Maumivu haya yanaweza kutofautiana kulingana na umri na maumbile. Kwa wanaoanza sasa wanaweza kupatwa na maumivu makali hata kuliko ambao ni wakubwa. Ambao wana matatizo ya homoni mau,ivu yanaweza kuw ani makali pia. Ukali hii ni wenye kuvumilika, lakini inatokea baadhi ya nyakati kwa baadhi ya wanawake maumivu hayawezi kuvumilika ni makali sana, mpaka anapelekwa hospitali.

 

Basi makala hii ni kwa ajili yako, tutaona sababu za maumivu haya makali yasiyoweza kuvumilika na pia tatuaona dawa za chango na maumivi ya tumbo la hedhi. Usichoke endelea nayo makala hii mpaka mwisho. Ukipenda tuwachie maoni yako hapo chini.

 

Ni zipio sababu za maumivu makali ya chango na tumbo la hedhi?1.Kuota kwa vinyama maeneo mengine ndani ya mwili lakini nje ya tumbo la mimba. Hali hii inaweza kuwa na dalili kama kupata hedhi yenye damu nyingi sana na za mabonge, hedhi kuwa zaidi ya siku 7, maumivu makali ya tumb, maumivu makali wajati wa kushiriki tendo la ndoa.

 

2.Kama mfumo wa homoni haupo sawa yaani hormone imbalance. Tatizo la homoni ni sugu sana kwa wanawake wengi. Inakadiriwa kuwa katika kila wanawake 10 basi mmoja wao atakuwa na tatizo hili. Shida ya homoni inaweza kuwa na dalili kama:- maumivu makali ya chango, kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, kutokwa na chunusi nyingi usoni, mwanamke kuwa mzito sana, nywele zake zinakuwa dhaifa na kunyonyoka kwa haraka, na ngozi kuwa na madod madoa.

 

3.Kuwa na uvimbe kwenye mfumo wa uzazi. Mwnamke anaweza kuwa na dalili kama maummivu ya miguu, maumivu ya mgongo kwa chhini, kukosa choo kikubwa, kupata hedhio yenye damu nyingi, maumivu mkakli ya chango, kukojoa mara kwa mara na kushindwa kumaliza mkojo wote anapokojoa.

 

4.Kuwa na maambukizi au mashambulizi ya bakteria, fangasi na virusi kwenye mfumo wa uzazi. Mwanamke anaweza kupatwa na dalili kama kutokwa na damu kablya ya kuinia hedhi na baada, kutokwa na majimaji yanayotoa harufu ukeni, maumivu makali wakati wa kukojoa, kupata homa.

 

Sababu nyingine ni:1.Kukaza kwa tisu za kwenye tumbo la kizazi2.Matumizi ya baadhi ya njia za uzazi wa mpango3.Maumbile ya mwanamke.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-10     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3082

Post zifazofanana:-

Sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi
Kiufipi posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi Soma Zaidi...

Vyakula vya wanga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya wanga na umuhimu wake mwilini Soma Zaidi...

Mafunzo ya DATABASE - MySQL somo la 7
Mafunzo ya database kwa utumia software ya MySQL kwa lugha ya kiswahili na hili ni somo la 7. Soma Zaidi...

DALILI ZA TEZI DUME
Tezi dume hii ni tezi inayopatikana katika katika mfumo wa uzazi wa mwanaume Ila hujulikana kama PROSTATE GLAND. pia hukua karibu na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo hutumika kuzalisha majimaji (simen) yanayobeba mbegu hivyo bas mk Soma Zaidi...

Ufahamu Ugonjwa wa hepatitis B
Hepatitis B Ni maambukizi ya ini ambayo yamekuwa sugu kuanzia mwezi na kuendelea. Soma Zaidi...

English Reading for primary school part 01.
This is part 01 out of our many short stories for primary school pupils. We hope this text to help the pupils to read English words in different situations. Soma Zaidi...

Vyakula vya fati na mafuta
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya fati na mafuta Soma Zaidi...

Vidonda vya tumbo chanzo chake na dalili zake
Katika post hii utajifunz akuhusu vidonda vya tumbo na jinsi vinavyotokea. Utajifunza pia tahadhari anazopasa mtu achukuwe na vyakula salama anavyopaswa kula. Soma Zaidi...

Uandishi wa hadithi wakati wa maswahaba wa mtume (s.a.w)
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Faida za limao au ndimu
Post hii itakwenda kukueleza umuhimu wa limao kiafya Soma Zaidi...

Namna ya kumsaidia mgonjwa aliye na Maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari, ni wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari. Soma Zaidi...

NJIA ZA KUFUATA ILI UKUBALIWE NA GOOGLE ADSENSE
GOOGLE ADSENSE ni moja kati ya njia za kuu na muhimu za kujiingizia kipato kwa waandishi na wamiliki wa blogs na website.Naweza kusema kwamba ndio kampuni inayolipa vizuri kuliko nyingine yoyote ile japo zipo nyingine kama; Soma Zaidi...