Dawa ya kutibu ugonjwa wa PID
PID ni mashambulizi ya bakteria kwenye mfumo wa uzazi kwa wanawake. Hapa nitakujulisha dawa
PID ni kifupisho cha maneno Pelvic Inflammatory Diseases. Hizi ni infections ama mashambulizi au maambukizi ya bakteria kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke.
Dalili za PID
1. Kutokwa na uchafu sehemu za siri
2. Kuwashwa sana sehemu za siri
3. Maukivubmakali ya tumbo na wakati wa siki zako
4. Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi
5. Kuvurugika kwa siku za hedhi
Nini dawa ya PID
Kwa kuwa PID ni infection hivyo dawa atakazopewa mgonjwa ni dawa za antibiotics. Anaweza pewa moja katika hizi: -
1. Metronidazole
2. ofloxacin,
3. levofloxacin,
4. ceftriaxone plus doxycycline, or
5. cefoxitin
6. probenecid plus doxycycline
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 web hosting 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 ai web app 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Dawa ya kutibu UTI
Nitakujuza dalili za UTI na dawa za kutibu UTI. Pia tutaona njia za kujikinga na UTI pamoja na dalili za UTI
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa ya Theophylline katika kutibi mfumo wa upumuaji
Post hii inahusu zaidi dawa ya theophylline ni dawa inayofanya kazi kwenye mfumo wa upumuaji.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa ya griseofulvin
Post hii inahusu zaidi dawa ya griseofulvin ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye ngozi ambazo usababisha mabaka mabaka kwenye ngozi.
Soma Zaidi...Fahamu dawa zinazopunguza maumivu
Post hii inahusu zaidi dawa zinazofanya kazi ya kupunguza maumivu kwa kawaida dawa hizi ufanya kazi kwa kupitia kwenye mfumo wa fahamu.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa ya streptomycin
Post hii inahusu zaidi dawa ya streptomycin ni dawa mojawapo ya kupambana na bakteria hasa wanaoshambulia mfumo wa hewa.
Soma Zaidi...Chini ya Tumbo langu Kuna uchungu lakini si sana shinda ni ni?
Nini kinasababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu?
Soma Zaidi...