image

Dawa ya Panadol au paracetamol katika kutuliza maumivu

Posti hii inahusu zaidi kazi ya paracetamol katika kutuliza maumivu, ni Aina ya dawa ambayo utumiwa sana katika kutuliza maumivu kwa wagonjwa.

Kazi za paracetamol katika kutuliza maumivu.

1. Paracetamol ni Aina ya dawa ambayo utuliza maumivu mbalimbali kwenye mwili wa binadamu, na pia ushusha Homa kama Iko juu na pia Kati ya dawa za maumivu ni dawa ambayo utumika Ili kupunguza maumivu kwa watu wenye vidonda vya tumbo, kwa hiyo dawa hii utumiwa kwa ushauri wa daktari  au wataalamu mbalimbali wa afya kwa hiyo tutumie dawa hii kwa kufuata maelekezo zaidi kutoka kwa wataalamu wa afya.

 

2. Dawa hii ya paracetamol utumiwa na uleta mafanikio kwa watu mbalimbali lakini huaribu inni, figo na watu wanaotumia sana pombe hawapaswi kutumia dawa hii au wasitumie pombe mpaka wamalize dozi kwa hiyo hii dawa hazipaswi kutumiwa sana kwa bila sababu hasa wale wasichana wanaoumwa tumbo la siku zao za mwezi upenda kutumia dawa hii kila mwezi siyo vizuri kwa sababu wanaweza kuniletea matatizo ya kuwa na vidonda vya tumbo kwa sababu hii dawa ukwangua ukuta wa tumbo ikiwa  zikitumika mara kwa mara.

 

3. Dawa hizi za paracetamol au Panadol zinakuwa kwa mfumo wa vidonge kwa watu wazima na kwa watoto zinakuwa kwenye maji maji kwa hiyo zinamezwa kwa kutumia maji Safi Ili kwa watoto wanakunywa kadri ya maagizo ya wataalamu wa afya, kwa hiyo hizi dawa tunajua kuwa zinapungiza maumivu tusizitumie kiholela Bali tuzitumia kwa ushauri wa daktari na wataalamu wa afya kwa sababu kila dawa uwa na matumizi yake kwa hiyo ikiwa mtu amezitumia vibaya anaweza kujiletea matatizo ya Bure .           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/12/17/Friday - 04:36:07 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1574


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Dawa za mitishamba za kutibu meno
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za mitishamba za kutibu meno Soma Zaidi...

Fahamu dawa ya kuzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria
Post hii inahusu zaidi dawa ya cloxacillin ambayo Iko kwenye kundi mojawapo la penicillin ambalo uzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria. Soma Zaidi...

Kazi za Dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria
Posti hii inahusu zaidi kazi za dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria kali, ni dawa ambayo inatumika sana kutibu Malaria kali. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa ya potassium sparing
Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo. Soma Zaidi...

Dawa ipi ya manjano kwa mtoto mwenye umri miaka miwili?
Ugonjwa wa manjano ni moja kati ya maradhibyanayosumbuwa ini. Ugonjwa huu unahitaji uangalizi wa haraka hospitali. Posti hii itakwenda kukujuza ninivufanyebendapobmtoto wako ana ugonjwa wa manjano. Soma Zaidi...

Dawa ya kutibu ugonjwa wa PID
PID ni mashambulizi ya bakteria kwenye mfumo wa uzazi kwa wanawake. Hapa nitakujulisha dawa Soma Zaidi...

Dawa ya fluconazole kama dawa ya fangasi
Post hii inahusu zaidi dawa za fangasi na matumizi yake kwa kutumia dawa ya fluconazole kama dawa mojawapo ya fangasi. Soma Zaidi...

Dawa ya Albendazole katika kutibu Minyoo.
Posti hii inahusu zaidi dawa ya Albendazole katika kutibu Minyoo, ni Aina mojawapo ya dawa ambayo usaidia kutibu Minyoo inayosababishwa na bakteria mbalimbali. Soma Zaidi...

Dawa za kutibu kiungulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za kutibu kiungulia Soma Zaidi...

Faida za vidonge vya antroextra
Posti hii inahusu zaidi faida za vidonge vya antroextra, ni vidonge kwa ajili ya mifupa, viungo na gegedu, hivi vidonge vimetumiwa na watu wengi na matokeo yake ni mazuri sana, kwa hiyo zifuatazo ni faida za vidonge hivi. Soma Zaidi...

Fahamu dawa ya kutibu maumivu ya mgongo (back none pain) na kiuno
Fahamu dawa ya back bone pain kwa matibabu ya mgongo, ni mojawapo ya dawa ambayo imependekezwa kutuliza maumivu ya mgongo. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa za magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa za magonjwa ya moyo, ni dawa ambazo utumika kusaidia pale moyo kama umeshindwa kufanya kazi ipasavyo. Soma Zaidi...