Dawa ya penicillin ambayo uzuia asidi ya bakteria.

Post hii inahusu zaidi dawa ya phenoxy-methyl penicillin ambayo upambana na aina ya bakteria ambao utoa sumu Ili kuzuia dawa isifanye kazi.

Fahamu dawa ya phenoxy-methyl penicillin.

1. Hii ni aina ya dawa ambayo imo kwenye kundi la penicillin, dawa hii ya phenoxy-methyl penicillin upambana na bakteria ambao wakiingia mwilini na kuuushambilia kila dawa inayojaribu kupambana na bakteria Hawa inashindwa kufanya kazi, kwa hiyo dawa hii ya phenoxy-methyl imetengenezwa Ili kuweza kupambana na bakteria Hawa na imefanikiwa kwa kiwango kikubwa.

 

2. Dawa hii kwa ujumla utubi maambukizi yoyote ya bakteria ambayo Kwa kitaamu maambukizi huiitwa bakteria infection,kama vile maambukizi ya bakteria kwenye mkojo na sehemu mbalimbali za mwili,dawa hiyo huwa kwenye mfumo wa vidonge kwa kitaamu huiitwa table form as potassium salt.

 

3. Kila dozi kwenye kasha huwa na mia mbili hamsini milligrams ila zinatofautiana kulingana na matumizi kwa kawaida uanzia milligrams mia mbili na hamsini mpaka mia tano na utumika kuanzia masaa sita na kuendelea na pia Kuna dawa nyingine ambazo huwa kwenye maji maji hizi utumiwa na watoto kwa wingi na pia huwa na miigram mia Moja na ishilini na tano na mills tano.

 

4. Kwa kawaida dawa hizi upitia kwenye mdomo, na pia dawa hizi utumiwa na watu mbalimbali ila wenye aleji na dawa ya penicillin hawapaswi kutumia dawa hii kwa sababu wanaweza kupata matatizo mbalimbali kwa sababu ya aleji.

 

5. Vile vile dawa hii huwa na maudhi madogo madogo baada ya kuitumia kama vile kichefuchefu na kutapika, kuharisha, kichwa kuuma, pia na wale wagonjwa au watu wenye tatizo la kupungukiwa na damu hawapaswi kutumia dawa hii au waitumie kwa maagizo ya wataalamu wa afya kwa sababu dawa hii huwa na tabia ya kupunguza damu wakati wa kutumia.

 

6 pia dawa hii haipaswi kutumika ovyo ovyo au kiholela Bali utumika kulingana na utaratibu wa wataalamu wa afya, kwa hiyo ni vizuri kupata utaratibu wa wataalamu wa afya na kuanza kutumia dawa hii.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/22/Thursday - 01:21:09 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 623


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-