DAWA ZA ANESTHESIA KATIKA KUTULIZA MAUMIVU.


image


Unapotaka kufanyiwa baadhi ya matibabu unatakiwa kupewa ganzi ama nusu kaput ili kulifanyia usihisi maumivu. Dawa hizi zinajulikana na Anesthesia.


Anesthesia ni matibabu ya kuingia maumivu. Yanaweza kufanyiwa kuingia maumivu katika kiuno fulani chenye kuhitajikankufanyiwa matibabu. Anesthesia yabaina hii huitwa local Anesthesia. 

 

Lakini kama itahitajika kwa kiuno kuzinga mfano mguu wote Anesthesia ya aina hii huitwa regionala Anesthesia. 

 

General Anesthesia hii hutumikabkutuliza mwili wote ama sehemu kubwa ya mwili. Kwa mfano inaweza usihisibmaumivu kuanzia chini ya kifutmwa kuja miguuni. 

 

Sedation 

Anesthesia ni matibabu ya kuingia maumivu. Yanaweza kufanyiwa kuingia maumivu katika kiuno fulani chenye kuhitajikankufanyiwa matibabu. Anesthesia yabaina hii huitwa local Anesthesia. 

 

Lakini kama itahitajika kwa kiuno kuzinga mfano mguu wote Anesthesia ya aina hii huitwa regionala Anesthesia. 

 

General Anesthesia hii hutumikabkutuliza mwili wote ama sehemu kubwa ya mwili. Kwa mfano inaweza usihisibmaumivu kuanzia chini ya kifutmwa kuja miguuni. 

 

Sedation Anesthesia hii hutumika kufanya mwili wako u relax na hatimaye kulala fofofo. 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Fahamu matumizi ya Dawa iitwayo paracetamol.
Paracetamol kwa jina kingine hujulikana kama(acetaminophen) ni dawa ya kawaida ya kutuliza maumivu ambayo hutumiwa kupunguza aina mbalimbali za maumivu. Paracetamol ndilo jina linalojulikana zaidi katika kutuliza maumivu ya kawaida. Paracetamol inajulikana sana kutibu maumivu ya kichwa, lakini pia inaweza kutumika kwa maumivu ya misuli, homa, mgongo, meno na hata maumivu ya mifupa (arthritis). Soma Zaidi...

image Fahamu dawa za 5-fluorouracil,Tegafur na uracili
Post hii inahusu zaidi dawa za 5-fluorouracil, Tegafur na uracili katika kupambana na kansa. Soma Zaidi...

image Kazi za Dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria
Posti hii inahusu zaidi kazi za dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria kali, ni dawa ambayo inatumika sana kutibu Malaria kali. Soma Zaidi...

image Matumizi ya dawa ya vidonda vya tumbo
Posti hii inahusu zaidi matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, ili kuweza kutumia dawa hizi ni vizuri kabisa kufuata mashariti kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Dawa ya kutibu fangasi wa kwenye mdomo na kinywa
Zipo dawa nyingi ambazo hufahamika katika kutibu fangasi kwenye mdomo ama kinywa. Miongoni mwa dawa hizo hapa nitakuletea baadhi yao. kama wewe pia unasumbuliwa na fangasi wa mdomo basi post hii itakusaidi sana. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa ya kutuliza mishutuko.
Post hii inahusu zaidi dawa ya phenytoin,ni dawa inayotuliza mishutuko mbalimbali inayoweza kutokea kwenye mwili na kutokana na mishutuko hiyo tunaweza kupata kifafa. Soma Zaidi...

image Dawa za kutibu fangasi kwenye kucha
Makala hiii inakwenda kukueleza dawa za kutibu fangasi kwenye kucha. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa ya aminophylline kutibi maambukizi kwenye mfumo wa upumuaji
Post hii inahusu zaidi dawa ya aminophylline katika kutuliza maambukizi kwenye mfumo wa upumuaji. Soma Zaidi...

image Fahamu matumizi ya Ampicillin.
Ampicillin ni antibiotic yenye msingi wa penicillin ambayo inafanya kazi kupambana na maambukizi ya ndani ya bakteria. Ampicillin hufanya kazi ya kuharibu kuta za kinga ambazo bakteria huunda ndani ya mwili wako na kuzuia bakteria wapya kutokeza. Ampicillin ni kiuavijasumu chenye ufanisi mkubwa, na ni mojawapo ya dawa zinazopendekezwa na madaktari. Soma Zaidi...

image Ifahamu dawa ya kutibu kifua kikuu
Post hii inahusu zaidi dawa ya Rifampin kama dawa mojawapo ya kutibu kifua kikuu. Soma Zaidi...