Dawa ya kutibu macho

Hizi ndio dawa za macho yenye ukavu, kuwasha ama kutoa machozi

Dawa ya kutibu macho

Dawa ya kutibu ugonjwa wa macho.
Macho ni kiungo kinachotumika katika kuona, lakini ubongo ndio ambao unatafsiri hicho kilichoonwa. Macho yamekuwa yakisumbuliwa mambo mengi. Wakati mwingine shughuli zetu na maeneo tunayoishi huwa ndio sababu kubwa, lakini pia umri unachangia, vyakula tunavyokula huchukuwa nafasi kubwa katika haya.



NAMNA YA KUYATUNZA MACHO
Njia bora ya kuyakinga macho na maradhi mbali mbali
A.Usafi wa mwili na mazingira tunayoishi
B.Kuosha mikono kwa maji safi
C.Kuosha uso mara kwa mara
D.Kuvaa miwani kwa wale wenye kufanya kazi sehemu
E.zenye mavumbi na dereva wa pikipiki
F.Kuvaa miwani ya kiza sehemu zenye mwangaza mkali mfano welding.
G.Epuka kutumia dawa bila ya ushauri wa daktari
H.Epuka tiba za kienyeji kwenye macho
I.Soma kwenye sehemu zenye mwangaza wa kutosha.
J.Kula tunda angalau mara moja kwa siku
K.Muone daktari kila unapopata matatizo ya macho



Matibabu ya Macho
Matibabu haya hayawezi kutibu maradhi yote ya macho, pia ni vyema ukaonana na daktari wa macho. Kwani kila jicho likichelewa kupata atibabu inaweza kuleta shida. Hata hivyo endapo utapokea tiba isiyo sahihi, unaweza kupata matatizo zaidi. Baadhi ya dawa na matibabu ya macho ni:-



1.Miwani, onana na daktari wa macho, huwenda tatizo lako likatibiwa na miwani.
2.Chloramphenicol
3.Fusidic acid
4.Ciprofloxacin
5.Hypromellose
6.Carbomer
7.Latanoprost
8.Timolol





                   





Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 654


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-