Fadhila za kusoma surat al Imran
Post hii itakufundisha fadhila na faida za kusoma surat al Imran
Surat al-imraan
Amesema Mtume katika mafhumu ya hadithi iliyo sahihi kuwa itakuja qurani siku ya kiyama ikiongozwa na surat al-baqarah na al-imraan katika hali ya makundi mawili na yakawa yanajadiliana juu ya mtu wao yaani msomaji.
Pia amesema Mtume Mtu mwenye kusoma “SHAHIDALLAHU ANNAHU LAA ILAAHA ILLAA HUWA WALMALAAIKATU WA-ULUL-ILMI QAAIMAN BIL-QISTWI LAA ILAAHA ILLAA HUWAL-AZIZL-HAKIIM. INNA DINA ‘IN-DALLAHIL-ISLAM”
Kisha akasema “wa ana ash-hadu bimaa shahidaLLAHU bihi, wa astawdiu LLAHU hadhihi shahadah, wahiya lii indahu wadi’ah”
Basi ataletwa mtu huyu siku ya kiyama na ataambiwa na Allah ewe mja wangu hii ni ahadi yangu niloahidi na mimi nina haki ya kutekeleza ahadi muingizeni mja wangu peponi”
(Amepokea Abuu Shaykh kutoka kwa Ibn masud).
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 web hosting 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Tofauti kati ya sura za makkah na madinah
Quran (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...