Fadhila za kusoma surat al Kahaf siku ya Ijumaa
Je unajuwa ni kwa nini unatakiwa usikose kusoma surat al Kahaf siku ya ijumaa. Makala hii itakujibu swali hili
Surat alkahafi
Amesema Mtume “mwenye kusoma surat al-kahafi siku ya ijumaa itampatia mwangaza kati ya ijumaa ile mpaka nyingine.
(Amepokea Al-haakim na Baihaqi kutoka kwa Abuu Musa al-’Ashar).
Amesema Mtume mwenye kuhifadhi aya 10 za mwanzo za surat al-kahafi atalindwa na fitna za Dajali.
(Amepokea Muslim, Ahmad,na Nisai kutoka kwa Abuu Dardaa).
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 web hosting 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Sababu za kushuka surat al alaqa
Asbsb nuzul surat al alaqa, sababu za kushuka surat alaqa. Sura hii imeshuka Makka na ina aya 19. Ni sura ya 96 katika mpangilio wa Quran.
Soma Zaidi...surat al mauun
SURATUL-MAM’UUN Imeteremshwa Maka, anasimulia Ibn Jurayj kuwa Abuu Sufyan ibn Harb alikuwa na kawaida ya kuchinja ngamia wawili kila wiki, hivyo siku moja yatima mmoja alikuja kwake na kumlilia shida, na hakumsaidia kwa chochote na hatimaye akampiga yat..
Soma Zaidi...