Fahamu ajali ambazo utokea kwenye kifua
Post hii inahusu Zaidi ajalia ambazo utokea kwenye kifua Kwa kitaalamu huitwa chest injury,Kwa kawaida kwenye kifua kua sehemu mbalimbali kama vile mapafu,moyo,koo na sehemu mbalimbali, sehemu hizi uweza kupata ajali na kusababisha madhara makubwa,Kwa hiy
Visababishi vya ajali kwenye kifua, ( chest injury).
1. Ajali mbambali zitokanazo na magari au pikipiki.
Kwa wakati mwingine,ajali za magari,piki piki au baskel na vifaa vya usafiri Kwa ujumla usababisha kuwepo Kwa ajali kwenye kifua,kutokana na ajali za vyombo vya usafiri , unaweza kuharibu sehemu ya moyo ,mapafu au koo inawezekana ikawa ya moja Kwa moja au sehemu zake,Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuweza kugundua ni shehemu ipi ambayo imepata shida Zaidi kama ajali imetokea kwenye sehemu za kifua.
2. Kuanguka.
Kwa wakati mwingine mtu anaweza kuteleza akaanguka na kusababisha maumivu kwenye sehemu za kifua, inawezekana kuteleza, kuanguka kutoka kwenye mti meza au sehemu yoyote ile ambayo usababisha maumivu kwenye sehemu ya kifua,Kwa hiyo iwapo mtu ameanguka ni vizuri kabisa kuangalia sehemu ya kifua Kwa sababu ya kuwepo Kwa sehemu muhimu kama vile moyo na mapafu.
3. Kuwepo Kwa vitu vyenye ncha Kali kwenye kifua.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo na vitu vyenye ncha Kali kwenye kifua ambavyo uingia moja Kwa moja kwenye kifua na kusababisha ajali sehemu ya kifua,na vitu hivyo ni kama risasi za bunduki zikiingia usababisha kuwepo Kwa ajali kwenye kifua au kulengwa Kwa mshale kwenye kifua,vitu hivyo ni hatari sana uweza kusababisha madhara au ajali kwenye sehemu za kifua.
4. Kwa hiyo Kwa sababu sehemu ya kifua ina vitu vingi na vya maana,ni vizuri kabisa kuweza kuwa makini ukiwa ajari imetokea na pia mtu akipata ajali kwenye sehemu za kifua ni vizuri kabisa kumpa mda aweze kutulia na kupumzika ili kuweza kugundua kama Kuna sehemu yoyote haiko sawa au Kwa wakati mwingine, mgonjwa anaweza kuwa anapumua vibaya au Kwa wakati mwingine anakuwa anahisi maumivu sehemu za kifua,Kwa hiyo matababu ya haraka ni lazima.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) π2 kitabu cha Simulizi π3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina π4 Dua za Mitume na Manabii π5 Madrasa kiganjani π6 web hosting
Post zinazofanana:
Dalili za ugonjwa wa kipindupindu
Post hii inahusu zaidi juu ya ugonjwa wa kipindupindu.Ni dalili zinzojitokeza kwa magonjwa wa kipindupindu.
Soma Zaidi...Vipele vyenye maji (Chickenpox): Je, ni vya kuambukiza?
Vipele vyenye maji, kitaalamu Varicella, ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya Varicella-Zoster. Ugonjwa huu hujulikana kwa vipele vyake vyenye maji ambavyo huwasha sana. Ni ugonjwa unaoambukiza kwa kasi kubwa, hasa kwa wale ambao hawajawahi kupata ugonjwa huu au hawajachanjwa. Makala hii inafafanua jinsi virusi hivi vinavyosambaa na hatua za kuchukua ili kujikinga
Soma Zaidi...Dalili na ishara za ugonjwa sugu was Figo.
ΓΒ Dalili na ishara za ugonjwa sugu wa figo hukua baada ya muda ikiwa uharibifu wa figo unaendelea polepole.ΓΒ Kupoteza utendakazi wa figo kunaweza kusababisha mrundikano wa majimaji au uchafu wa mwili. Kulingana na jinsi ilivyo kali, upotezaji wa kazi ya
Soma Zaidi...Dalili za ngozi kuwasha.
Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa kuhusiana na dalili za ngozi kuwashwa.
Soma Zaidi...Dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto.
Soma Zaidi...