Fahamu dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa, ni mojawapo ya dawa kwenye kundi la beta blockers na pia uhusika katika matibabu ya magonjwa ya moyo kama nyingine.
Dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
1. Kama tulivyoona hapo mwanzoni kwamba dawa hii ya carvedilo imo kwenye makundi ya dawa za matibabu ya magonjwa ya moyo ,dawa hii uhusika na kupunguza mapigo ya moyo kama yanakwenda mbio na matatizo mbalimbali yanayoendana na hali hiyo ,kwa upande wa matumizi dawa hii utegemea mgonjwa pia na utaalamu wa wahudumu wa afya.
2. Kwa kawaida dawa hii uwa kwenye mfumo wa vidonge na pia utumika kila siku hasa kwa watumiaji wenye tatizo la kudumu ila kwa wale ambao tatizo limetokea kwa mda au kwa sababu fulani dawa hizi zinawezwa kuacha kutumika hasa pale tatizo lilionekana kuisha .
3. Pia kama zilivyo dawa nyingine na dawa hii ya carvedilo ina maudhui madogo madogo kama vile kuwepo kwa kizungu Zungu hasa kwa wanaoanza kutumia dawa, uchofu wa mara kwa mara ,presha kushuka, kichefuchefu na kutapika, uzito kuongezeka, pia kwa walio wachache wanaweza kupata shida ya kushindwa kupumua na pengine sukari kushuka, kwa hiyo ikitokea haya maudhui madogo madogo yakitokea kwa kiwango cha chini ni vizuri kuyavumilia na kisha baada ya mda mfupi.
5. Kwa upande wa maudhi madogo madogo yakiendelea na kusababisha madhara makubwa hasa upungufu wa sukari na kupumua vibaya ni vizuri kutoa taarifa kwa wataalamu wa afya ili waweze kubadilisha dawa na kumfanya mgonjwa aendelee vizuri.
6. Dawa hii inatumika kwa watu mbalimbali ila kwa wale wenye matatizo ya kushuka kwa sukari,na kupumua vibaya wanapaswa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa au kwa upande wa wenye sukari ni vizuri kupima sukari kabla ya kutumia dawa.
7. Kwa hiyo dawa hizo zinapaswa kutumika kwa utaratibu na ushauri wa wataalamu wa afya na sio kutumia dawa hii kiholela.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 ai web app 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Fahamu kuhusu dawa ya parental Artusnate dawa ya kutibu malaria sugu
Post hii inahusu zaidi dawa ya Parental Artusnate ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa malaria sugu kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...Nani anapaswa kutumia vidonge vya zamiconal.
Posti hii inahusu zaidi watu ambao wana uwezo wa kutumia vidonge vya zamiconal, ni baadhi ya watu au makundi yanayoweza kutumia vidonge hivi.
Soma Zaidi...Dawa ya kutibu UTI
Nitakujuza dalili za UTI na dawa za kutibu UTI. Pia tutaona njia za kujikinga na UTI pamoja na dalili za UTI
Soma Zaidi...Dawa ya kutibu minyoo
Zijuwe aina za minyoo na tiba yake. Dawa 5 za kutibu minyoo ya aina zote
Soma Zaidi...Dawa ipi ya manjano kwa mtoto mwenye umri miaka miwili?
Ugonjwa wa manjano ni moja kati ya maradhibyanayosumbuwa ini. Ugonjwa huu unahitaji uangalizi wa haraka hospitali. Posti hii itakwenda kukujuza ninivufanyebendapobmtoto wako ana ugonjwa wa manjano.
Soma Zaidi...Miungurumo haiishi tumboni nikishika upande wa kushoto wa tumbo kuna maumivu kwa mbali je mm nitumie dawa gan kuondoa tatizo hilo
Kukawa na gesi tumboni kunaweza kuwa ni dalili ya shida kwenye afya, hasa katika mfumo wa chakula. Hali itakuwa sio nzuri endapo utakosea hamu ya kula na kuhisivkushiba muda wowote.
Soma Zaidi...