Fahamu dawa ya haloperidol katika matibabu ya akili

Post hii inahusu dawa ya haloperidol katika matibabu ya magonjwa ya akili, ni mojawapo ya dawa ambayo utumiwa na wagonjwa ambao wamechananyikiwa.

Dawa ya haloperidol katika matibabu ya akili

1. Dawa hii ya haloperidol kwa mtu aliyechanganyikiwa usaidia kutuliza mfumo kwenye sehemu ya mfumo wa fahamu hata kama mtu amechangamka kiasi gani, dawa hii pia usaidia kutuliza wale wagonjwa wa akili ambao wanachachamaa sana na kuruka huku na huku kupiga watu na kufanya mambo kama hayo.

 

2. Dawa hii utibu magonjwa mawaili ya akili ambayo Kwa kitaamu huiitwa mania na schizophrenia na pia usaidia kutuliza hali ambazo umjia mgonjwa wa akili kama vile kuwaza kwamba yuko mbali na dunis, anaweza kufanya mambo makubwa na hali kama hizo kwa kutumia dawa hizi za haloperidol mgonjwa urudia hali yake ya Kawaida.

 

3. Pia dawa hizi huwa zina dozi tofauti tofauti kwa watoto na watu wazima kulingana na umri pamoja na Uzito, dozi kwa kawaida uanzy milligrams mbili mpaka tano na kawaida uongezeka mpaka mia Moja kadri ya tatizo la mgonjwa kulingana na wataalamu wa afya.

 

4. Kwa kuanzia kwa watoto kwa kawaida uanzia milligrams ishilini na tano mpaka hamsini, kwa Vijana uanzia milligrams thelathini na kuendelea kwa watu wazima uanzia milligrams miatano kwa mara mbili, kwa hiyo dozi utegemeaana kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

 

5. Pia dawa hii huwa na maudhi madogo madogo kama vile  midomo kukauka, kuishiwa na nguvu,ulimi kushindwa kutamka maneno na mambo kama hayo, kwa hiyo ni vizuri kumpatia mgonjwa chakula anapokuwa anatumia dawa.

 

6. Kwa hiyo dawa hii inapaswa kutumiwa na watu mbalimbali ila wale wenye kifafa wanapaswa kuitumia kwa taahadhari au kwa uangalizi zaidi na pia wenye aliji na dawa hii wanapaswa kutumia dawa nyingine tofauti na hii.

 

7. Dawaa hii inapaswa kutumiwa kulingana na utaratibu wa wataalamu wa afya.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/29/Thursday - 02:10:23 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1009


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-