Fahamu dawa ya hydralazine katika matibabu ya magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa ya hydralazine katika matibabu ya magonjwa ya moyo, dawa hii imetoka kwenye kundi la vasodilators, na pia usaidia sana kwenye matibabu ya magonjwa ya moyo.
Fahamu dawa ya hydralazine katika matibabu ya magonjwa ya moyo,
1.kama tulivyoona hapo mwanzoni kwamba dawa hii imetoka kwenye kundi la vasodilators, hii dawa ya hydralazine usaidia katika magonjwa ya presha hasa kama mishipa ya damu inapitisha damu kwa shida kwa hiyo kazi yake ni kurainisha mishipa ya damu Ili iweze kuruhusu dama iweze kupita kwa urahisi kwenye mishipa ya damu kwa hiyo kwa matumizi ya dawa hii watu wengi wameweza kupona na kirudia kwenye hali yao ya Kawaida au wengine ambao wanatumia dawa hii kama sehemu ya matibabu yao ya kila siku dawa hii imeweza kuleta uafadhari.
2. Pia dawa hii na yenyewe Ina maudhi madogo madogo ambayo utokea hasa kwa watumiaji na maudhi hayo utegemea mtu na mtu hasa uwasumbua sana wale wanaoanza matibabu, maudhi madogo madogo hayo ni Kama vile maumivu ya kichwa,na pia kwa sababu dawa hii uweza kurainisha mishipa ya damu na kuruhusu dama kwenda sehemu mbalimbali za mwili Kuna Kipindi mgonjwa anaweza kuonekana amechoka sana na pengine presha kupanda kabisa kwa sababu ya matumizi ya dawa hii ya hydralazine.
3. Vile vile dawa hii Inaweza kuleta kichefuchefu kwa mgonjwa na hatimaye kutapika , maumivu ya tumbo, kuharisha na pengine mwili kuwa na viupele kwa wagonjwa walio wachache wameriport kitendo cha kuvimba mwili hasa kwa wanaoanza kutumia dawa na wakizoea hali uendelea kama kawaida, pamoja na kuona maudhi hayo madogo madogo kama yakitokea kwa mda mfupi na kuisha hapo basi lakini kama yakiendelea na kuleta matatizo kwa mgonjwa ni vizuri kabisa kutoa taarifa kwa wataalamu wa afya Ili kuweza kubadilishiwaa dawa au kwa ushauri zaidi.
4. Pamoja na kufahamu kazi hii ya dawa ya hydralazine sio Vizuri kuitumia dawa hii kiholela Bali ni kwa utaratibu wa wataalamu wa afya,na pia dawa hii inatumika na watu mbalimbali isipokuwa wale we ye presha ya kupanda wanapaswa kutumia dawa hii kwa kuomba ushauri wa wataalamu wa afya.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Fahamu dawa ya kutibu maumivu ya mgongo (back none pain) na kiuno
Fahamu dawa ya back bone pain kwa matibabu ya mgongo, ni mojawapo ya dawa ambayo imependekezwa kutuliza maumivu ya mgongo.
Soma Zaidi...Fahamu dawa zinazotumika kwenye matibabu ya kansa
Post hii inahusu zaidi dawa ambazo zinatumika kwenye matibabu ya kansa, dawa hizi usaidia kuharibu seli ambazo ambazo hazistahili kwa kitaalamu huitwa malignant seli.
Soma Zaidi...Dawa ya kutibu fangasi wa kwenye mdomo na kinywa
Zipo dawa nyingi ambazo hufahamika katika kutibu fangasi kwenye mdomo ama kinywa. Miongoni mwa dawa hizo hapa nitakuletea baadhi yao. kama wewe pia unasumbuliwa na fangasi wa mdomo basi post hii itakusaidi sana.
Soma Zaidi...Ifahamu dawa ya epinephrine kwa kutuliza aleji
Post hii inahusu zaidi dawa ya epinephrine kwa kutuliza aleji ni dawa ambayo imependekezwa kutuliza aleji kama dawa ya hydrocortisone, Prednisone hazipo au zimeshindwa kufanya kazi.
Soma Zaidi...