image

Fahamu dawa ya ibuprofen katika kutuliza maumivu

Post hii inahusu zaidi dawa ibuprofen katika kutuliza maumivu, ni aina mojawapo ya dawa na yenyewe ufanya kazi kama aspirin na paracetamol

Dawa ya ibuprofen katika kutuliza maumivu .

1. Ibuprofen ni dawa ambayo ufanya kazi ya kutuliza maumivu, ni dawa ambayo ufanya kazi ya kuzuia prostagland ambayo usambaza ujumbe kutoka sehemu Moja kwenda nyingine na kama Kuna maumivu sehemu na yenyewe yanaweza kusambaa lakini kwa kazi ya ibuprofen maumivu hayawezi kusambaa kutoka sehemu Moja kwenda nyingine.

 

2. Na pia dawa hii usaidia kutuliza maumivu baada ya upasuaji, kwa sababu baada ya upasuaji maumivu huwa makali lakini kwa sababu ya kazi ya ibuprofen maumivu yanaweza kupungua kwa kufuata utaratibu wa dawa yenyewe 

 

3. Dawa hii Iko kwenye mfumo wa vidonge kwa hiyo upitia mdomoni wakati wa kutumia na pia Ili kuepuka kuleta madhara kwenye utumbo ni vizuri kutumiwa baada ya kula au wakati wa kula Ili mradi pawepo chochote tumboni.

 

4. Dose yake kwa kawaida ni milligrams mia nne kwa kila masaa manane na ni lazima kufuata maagizo ya wataalamu wa afya kwa hiyo hiyo dawa isitumiwe kiholela Bali kwa utaratibu wa wataalamu wa afya.

 

5. Pia wasiopaswa kutumia dawa hii ni wake wenye aleji na dawa hii ndio hawapaswi kutumia . Pia Kuna maudhi madogo madogo yatokanayo na dawa hii kama vile kichefuchefu na kutapika, kuharisha na maumivu ya tumbo pamoja na maumivu ya kichwa.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 717


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Ijue dawa ya cephalosporin katika kupambana na bakteria
Post hii inahusu zaidi dawa ya cephalosporin katika kupambana na bakteria, ni mojawapo ya kundi kati ya makundi ya kupambana na bakteria ambalo ufanya Kazi kama penicillin. Soma Zaidi...

Dawa za kutibu kiungulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za kutibu kiungulia Soma Zaidi...

Fahamu dawa ya diazepam katika kutuliza kifafa
Post hii inahusu zaidi dawa ya diazepam katika kutuliza kifafa, ni dawa ambayo matumizi yake yanaweza kuingilia pote kwenye kutuliza kifafa na pia kwa wagonjwa wa akili. Soma Zaidi...

Fahamu Dawa itwayo Diazepam
Diazepam ni nini? Diazepam ni Dawa ambayo Huathiri kemikali kwenye ubongo ambazo zinaweza kukosa uwiano na kusababisha wasiwasi. Diazepam hutumiwa kutibu matatizo ya wasiwasi, dalili za kuacha pombe, au misuli. Diazepam wakati mwingine hutumiwa pamoja n Soma Zaidi...

Dawa za kutibu ugonjwa wa macho
Somo Hili linakwenda kukuletea dawa za kutibu ugonjwa wa macho Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa ya Nystatin
Post hii inahusu zaidi dawa ya Nystatin ni mojawapo ya dawa ambayo utumika kwenye ngozi. Soma Zaidi...

Fahamu dawa ya kuzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria
Post hii inahusu zaidi dawa ya cloxacillin ambayo Iko kwenye kundi mojawapo la penicillin ambalo uzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria. Soma Zaidi...

Vyakula vya wanga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya wanga Soma Zaidi...

Dawa ya fangasi uumeni
kama unasumbuliwa na fangasi uumeni, nitakujuza dawa yake, sababu za fangasi uumeni, matibabu yake na njia za kuwaepuka Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa ya griseofulvin
Post hii inahusu zaidi dawa ya griseofulvin ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye ngozi ambazo usababisha mabaka mabaka kwenye ngozi. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa ya Albendazole
Post hii inahusu zaidi dawa ya Albendazole ni mojawapo ya dawa ambazo usaidia kutibu minyoo, na pia imefanikiwa sana kadri ya watumiaji wa dawa hiyo. Soma Zaidi...

Dawa inaitwa koflame ukitumia inashida kwa mama mjamzito? Maumivu ya mgongo na nyonga zinasumbua
Maumivu ya mgongo hutokea sana kwa wajawazito. Ijapokuwa ni hali ya usumbufu sana ila hakikisha hautumii madawa kiholela kutoka maduka ya dawa ama miti shamba. Kwani ukikisea kidogobinawezabhatarisha afya ya mtoto Soma Zaidi...