FAHAMU DAWA YA KUTIBU KIKOHOZI INAYOITWA EXPECTORANT


image


Post hii inahusu zaidi dawa aina ya expectorant katika matibabu ya kikohozi,ni dawa ambayo usaidia au uzuia kikohozi kuendelea kutokea.


Dawa ya kutibu kikohozi.

1. Kama tunavyojua kwamba kikohozi ni ugonjwa ambao uwapata watu wengi na uleta usumbufu sana hasa kwa watoto na wazee, basi kwa kutumia dawa ya expectorant inaweza kutibu kikohozi kwa sababu dawa hii ufanya kazi kwa kuhakikisha makohozi na material yote yaliyomo kwenye mapafu yanatolewa na kufanya mapafu,koo kuwa huru.

 

2. Pia dawa hii inapoingia kwenye mwili uhakikisha kwamba sehemu ya kwenye mfumo wa hewa ambayo kwa kitaalamu huitwa bronchial inakuwa safi bila makohozi na inafanya makohozi yaliyozalishwa yanakuwa mepesi na kwa hiyo hata mgonjwa anapokohoa hapati shida zaidi na pia kwa kutumia dawa hii ya expectorant usaidia maumivu kupungua na matibabu yanaweza kuwa mepesi zaidi.

 

3. Dawa hizi ya expectorant ina maudhui madogo madogo kama vile kichefuchefu na kutapika na pia kwa mara nyingine mgonjwa anaweza kuhisi kubwa na usingizi au mwili kulegea wakati akiwa anatumia dawa hii kwa hiyo ni vizuri kabisa na kujua kwamba hizi ni dalili za kawaida kwa mgonjwa mwenye kutumia dawa hii.

 

4. Pia dawa hizi utumiwa na watu mbalimbali ambao wana kikohozi na kwa wale wenye shida au aleji na dawa hizi hawapaswi kuitumia kwa sababu wanaweza kupata matatizo yatokanayo na kutoelewana kati ya mtumiaji na dawa yenyewe.

 

5. Katika matumizi ya dawa hii ni kufuata utaratibu wa wataalamu wa afya dawa hizi haitumiki kiholela ila kabla ya kuanza kutumia ni vizuri kujua namna unavyopaswa kutumia, uitumia mara ngapi na kazi yake ni nini baada ya kujua hayo unaweza kuitumia na matokeo natumaini yatakuwa mazuri zaidi.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Fahamu dawa ya kutibu maumivu ya mgongo (back none pain) na kiuno
Fahamu dawa ya back bone pain kwa matibabu ya mgongo, ni mojawapo ya dawa ambayo imependekezwa kutuliza maumivu ya mgongo. Soma Zaidi...

image Ifahamu dawa ya kutibu kifua kikuu
Post hii inahusu zaidi dawa ya Rifampin kama dawa mojawapo ya kutibu kifua kikuu. Soma Zaidi...

image Matibabu ya vidonda vya tumbo nyumbani
Post hii inahusu zaidi matibabu ya vidonda vya tumbo nyumbani, ni njia ya kawaida ya kujitibu vidonda vya tumbo kama tulivyoona. Soma Zaidi...

image Dapsone na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi dawa ya Dapsone na kazi zake, hii ni dawa ambayo utumika katika kutibu ugonjwa wa ukimwi, dawa hii ufanya kazi kwa mchanganyiko wa dawa nyingine kama vile Rifampicin na clofaximine. Soma Zaidi...

image Nani anapaswa kutumia vidonge vya zamiconal.
Posti hii inahusu zaidi watu ambao wana uwezo wa kutumia vidonge vya zamiconal, ni baadhi ya watu au makundi yanayoweza kutumia vidonge hivi. Soma Zaidi...

image Dawa ya quinenes katika kutibu Malaria
Post hii inahusu zaidi dawa e quinine katika kutibu Malaria ni dawa inayotibu Ugonjwa wa Malaria ikiwa dawa nyingine zimeshindwa kufanya kazi. Soma Zaidi...

image Imani potofu juu ya chanjo.
Post hii inahusu zaidi Imani potofu juu ya chanjo kwa watoto na akina Mama, ni baadhi ya Imani waliyonayo watu juu ya chanjo. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu dawa ya griseofulvin
Post hii inahusu zaidi dawa ya griseofulvin ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye ngozi ambazo usababisha mabaka mabaka kwenye ngozi. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu dawa ya ketoconazole.
Post hii inahusu zaidi dawa aina ya ketoconazole ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye koo. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa za kutuliza kifafa inayoitwa phenobarbital
Post hii inahusu dawa za kutuliza kifafa, zipo dawa mbalimbali za kutuliza kifafa Leo tutaona dawa mojawapo inayoitwa phenobarbital katika kutuliza kifafa. Soma Zaidi...