Fahamu dawa ya kutibu maumivu ya mgongo (back none pain) na kiuno

Fahamu dawa ya back bone pain kwa matibabu ya mgongo, ni mojawapo ya dawa ambayo imependekezwa kutuliza maumivu ya mgongo.

Fahamu dawa ya kutibu au kutuliza maumivu ya mgongo.

1. Post hii inahusu dawa ya kutibu au kutuliza maumivu ya mgongo na kiuno , dawa hii kwa kitaamu huiitwa back bone pain, kwa kawaida siku hizi Kuna matatizo mengi ya maumivu ya mgongo pia na kiuno, ni kwa sababu mbalimbali ambazo usababisha kuwepo kwa maumivu ya mgongo na sababu ni kama zifuatazo. Matumizi mabaya ya mto hasa wakati wa kulala, .atumizi mabaya ya godoro au kutumia godoro lisilo na sifa hasa Yale yanayobonyea na kufanya mgongo kukaa umeinama na pole pole kusababisha maumivu ya mgongo.

 

2. Pia kubeba vitu vizito na yenyewe ni sababu mojawapo ya maumivu ya mgongo, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuachana na sababu ambazo usababisha maumivu ya mgongo, kwa hiyo pamoja na kuwepo kwa maudhi ya mgongo Kuna dawa maalumu ambayo imewasaidia wengi na mimi ni mojawapo, dawa hii inaitwa backbone paini, hii dawa matumizi yake ni pale unapoamka asubuhi unapaka kwenye maumivu kuanzia kwenye kiuno mpaka sehemu mbalimbali zenye maumivu na unaweza kupaka mara tatu kwa siku, na ukizingatia matumizi mazuri maumivu upona.

 

3. Pia dawa hii ya back bone pain inapaswa kutumiwa kwenye sehemu za nje tu yaani kwenye ngozi sio ndani yamwili maana inaweza kuleta matatizo ikitumiwa kwenye mdomo,pia au kuingia ndani ya mwili ni kwa ajili ya nje tu, pia dawa hii inaweza kuleta maudhi madogo madogo kwa watumiaji na maudhi hayo ni pamoja na kuwepo kwa viupele na miwasho kwenye ngozi, haya maudhi yanaweza kuondoka kadri mtumiaji anavyotumia dawa ,kwa hiyo hali ikiwa mbaya ni vizuri kuwaona wataalamu wa afya.

 

4. Vile vile dawa hii haiitumiki kiholela inapaswa kutumiwa kulingana na wataalamu wa afya kwa sababu maelekezo mbalimbali utolewa kwa watumiaji na pia sio kuwekwa karibu na watoto kwa hiyo iwekwe sehemu nzuri na inayoeleweka.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2023/02/04/Saturday - 02:58:20 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1976


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-