FAHAMU DAWA YA MAUMIVU AINA YA INDOMETHACIN


image


Post hii inahusu zaidi dawa ya kutibu au kutuliza maumivu, kwa majina huiitwa indomethacin ni dawa inayotumika kutuliza maumivu ya Kawaida.


Dawa ya indomethacin katika kutibu maumivu.

1. Hii pia ni mojawapo ya dawa ya kutibu maumivu kama ilivyo dawa ya paracetamol, aspirin na ibuprofen,pia dawa hii usaidia kutuliza maumivu ya Kawaida kama maumivu ya kichwa,tumbo na kadhhalika 

 

2.  Kwa kawaida dawa hii Iko kwenye muundo wa vidonge na Ina milligrams mia tano na utumiwa baada ya masaa manane pamoja na chakula. Ikitumika kwenye tumbo wazi inawezekana kuleta mkwaruzo kwenye tumbo unaoambatana na vidonda vya tumbo.

 

3  dawa hii utumiwa na watu wazima ila kwa watoto hairuhusiwi ila kwa maagizo ya wataalamu wa afya inawezekana kutumika.

 

4. Pia dawa hii Ina maudhi madogo madogo kama vile kutapika na kuharisha maumivu ya tumbo hasa kama mtumiaji ametumia pasipo chakula.

 

5. Dawa hii haiitumiki kiholela ila kwa maagizo ya wataalamu wa afya.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Fahamu dawa ya diazepam katika kutuliza kifafa
Post hii inahusu zaidi dawa ya diazepam katika kutuliza kifafa, ni dawa ambayo matumizi yake yanaweza kuingilia pote kwenye kutuliza kifafa na pia kwa wagonjwa wa akili. Soma Zaidi...

image Dawa ya quinenes katika kutibu Malaria
Post hii inahusu zaidi dawa e quinine katika kutibu Malaria ni dawa inayotibu Ugonjwa wa Malaria ikiwa dawa nyingine zimeshindwa kufanya kazi. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa, ni mojawapo ya dawa kwenye kundi la beta blockers na pia uhusika katika matibabu ya magonjwa ya moyo kama nyingine. Soma Zaidi...

image Ijue dawa ya kutibu ugonjwa wa ukoma
Post hii inahusu zaidi dawa ya kutibu ukoma,na dawa hiyo ni dawa ya Dapsoni, hii dawa usaidia kuzuia nerve zisiendelee kupoteza kazi yake pia na ngozi iendelee kuwa kawaida Soma Zaidi...

image Ifahamu dawa ya epinephrine kwa kutuliza aleji
Post hii inahusu zaidi dawa ya epinephrine kwa kutuliza aleji ni dawa ambayo imependekezwa kutuliza aleji kama dawa ya hydrocortisone, Prednisone hazipo au zimeshindwa kufanya kazi. Soma Zaidi...

image Fahamu Dawa itwayo Diazepam
Diazepam ni nini? Diazepam ni Dawa ambayo Huathiri kemikali kwenye ubongo ambazo zinaweza kukosa uwiano na kusababisha wasiwasi. Diazepam hutumiwa kutibu matatizo ya wasiwasi, dalili za kuacha pombe, au misuli. Diazepam wakati mwingine hutumiwa pamoja na dawa zingine kutibu kifafa. Soma Zaidi...

image Fahamu kundi la veta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Post hii inahusu zaidi kundi la beta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo,hili kundi lina dawa mbalimbali ambazo utumika katika matibabu ya magonjwa ya moyo na kila dawa tutaiongelea tofauti tofauti ili kuweza kujua kazi zake. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu dawa ya potassium sparing
Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo. Soma Zaidi...

image Matumizi ya dawa ya vidonda vya tumbo
Posti hii inahusu zaidi matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, ili kuweza kutumia dawa hizi ni vizuri kabisa kufuata mashariti kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Kazi ya chanjo ya kifua kikuu
Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na ukoma. Soma Zaidi...