image

Fahamu dawa za cyclophosphamide na mustargen.

Post hii inahusu zaidi dawa za cyclophosphamide na mustargen katika kupambana na ugonjwa wa Kansa.

Dawa za cyclophosphamide na mustargen katika kupambana na Kansa.

1. Dawa hizi mbili yaan cyclophosphamide na mustargen ni dawaa ambazo ziko kwenye group lmay kundi la alkylating, ni dawa ambazo usaidia kupambana na kansa ya kwenye matiti,na ma uvimbe ambayo Yako kwenye mwili kwa watoto na watu wazima pia,

 

2. Dawa hzi ufanya Kazi kwa kuuua seli za Kansa kwa kivamia nuclear ambayo Kwa kitaamu huiitwa DNA ambayo ni material , kwa hiyo kwa kuvamia nuclear usababisha au kuzuia kazi ya kuharibika kwa seli kupungua na ambazo zilizokuwa zimezalishwa tayari na haziitajiki uendelea kuisha taratibu na hatimaye hali ya mgonjwa upata unafuu.

 

3. Vile vile dawa hii utumiwa na watu mbalimbali ila Kuna ambao hawapaswi kutumia dawa hizi za cyclophosphamide na mustargen,ni wale wenye mzio au aleji na dawa hizi au ufuatana na utaratibu wa wataalamu wa afya wanaweza kumzuia mgonjwa asitumie dawa hii.

 

4. Pia dawa hizi baada ya kutumia uweza kuwa na maudhi madogo madogo kama vile, maumivu ya tumbo, kichefuchefu na kutapika, pengine mgonjwa anaweza kuwa au kupata choo kigumu, vile vile na kuwepo kwa vidonda midomo ambavyo usababishwa na kupungua kwa kinga ya mwili.

 

5. Pia mgonjwa anaweza kukosa hamu ya kula, kwa sababu dawa ambazo mgonjwa anatumia Zina nguvu sana hata kama Hana hamu ya kula ni lazima kumlazimisha Ili aweze kula na hakikisha anapata chakula anachokihitaji.

 

6. Pia kwa wagonjwa wanaotumia dawa hii za cyclophosphamide na mustargen wanaweza kupata shida ya kupungua kwa seli kwa sababu dawa hizi usaidia kuuua seli ambazo haziitajiki hatari ni kwamba na seli zinazohitajika kuuuawa na kusababisha kupungua kwa seli.

 

7. Kwa hiyo hatupaswi kuzitumia dawa hizi kiholela Bali utumika kulingana na wataalamu wa afya na pia mgonjwa anapaswa kuwa kwenye uangalizi maalumu wakati wa kutumia dawa hii.






           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Dawa Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 736


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Mebendazole kama dawa ya kutibu Minyoo.
Post hii inahusu zaidi dawa ya Mebendazole kama Dawa ya kutibu Minyoo, ni dawa inayotumiwa na watu wengi pale wanapokuwa na minyoo, walio wengi wamefanikiwa kupona kwa kutumia Dawa hii. Soma Zaidi...

Fahamu zaidi kuhusiana na Dawa inayotibu shinikizo la damu. iitwayo LASIX
Lasix (Furosemide) iko katika kundi la dawa zinazoitwa vidonge vya maji (loop diuretics) vidonge vya maji. Lasix hutumiwa kupunguza uvimbe mwilini unaosababishwa na kushindwa kwa moyo, ugonjwa wa ini, au ugonjwa wa figo. Kwa matibabu ya dalili nyingi.La Soma Zaidi...

Ijue dawa ya sulphadoxine na pyrimethamine (sp)
Post hii inahusu zaidi dawa ya Sp , kirefu cha dawa hii ni sulphadoxine na pyrimethamine hii dawa ilitumika kutibu malaria kwa kipindi fulani lakini sasa hivi imebaki kutumiwa na wajawazito kama kinga ya kuwazuia kupata malaria. Soma Zaidi...

Ni zipi dawa za Vidonda vya tumbo?
Dawa za vidonda vya tumbo na tiba zake zinapatikana hapa. Soma makala hii kwa ufanisi Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa ya ketoconazole.
Post hii inahusu zaidi dawa aina ya ketoconazole ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye koo. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu kundi la diuretics
Post hii inahusu zaidi kundi la diuretics,ni kundi mojawapo kati ya makundi ya dawa zinazosaidia katika matibabu ya magonjwa ya moyo. Soma Zaidi...

Dawa ya kutibu macho
Hizi ndio dawa za macho yenye ukavu, kuwasha ama kutoa machozi Soma Zaidi...

Dawa za mapunye
Somo Hili linakwenda kukuletea dawa za maounye Soma Zaidi...

Fahamu dawa ya kutibu kikohozi inayoitwa expectorant
Post hii inahusu zaidi dawa aina ya expectorant katika matibabu ya kikohozi,ni dawa ambayo usaidia au uzuia kikohozi kuendelea kutokea. Soma Zaidi...

Fahamu dawa za cyclophosphamide na mustargen.
Post hii inahusu zaidi dawa za cyclophosphamide na mustargen katika kupambana na ugonjwa wa Kansa. Soma Zaidi...

Dawa ya fangasi kwenye mdomo na ulimi
Utajifunza dalili za fangasi mdomoni na ulimini, sababu za fangasi wa mdomoni na ulimini, matibabu yeke na njia za kukabiliana nao Soma Zaidi...

Dawa ya fangasi na dalili za fangasi
hapa utajifunza dalili za fangasi, dawa ya fangasi na aina za fangasi, pia nitakujuza njia za kukabiliana na fangasi Soma Zaidi...