Fahamu dawa za kutuliza aleji au mzio

Fahamu dawa za kutuliza aleji au mzio

Post hii inahusu zaidi dawa hydrocortisone kwa kutuliza aleji au mzio, kwa kawaida Kuna mda mtu anapotumia dawa Fulani anakuwa na mabadiliko mbalimbali kama vile kifua kubana , viupele na mambo kama hayo.

Fahamu dawa ya kutuliza aleji .

1. Kama tunavyofahamu kila mtu Kuna kitu ambacho huwa anakitumia na hakipatani na mwili wake kwa sababu Kuna wakati mwingine mwili huwa na viupele mtu anaanza kujikuna, au pengine kifua kinaanza kubana na mambo kama hayo kwa hiyo hali hiyo ikibadilika dawa ya hydrocortisone usaidia kuzuia aleji hasa zinazosababisha na dawa.

 

2. Dawa hiyo ufanya Kazi ya kutuliza aleji kwa kupambana na hali hiyo au kitu hicho na kukizuia kuleta madhara kwenye mwili wa binadamu, kwa wagonjwa wa asthma mara nyingi huwa na aleji ambazo uwasababishia kifua kubana na pengine kupumua vibaya kwa kutumia dawa ya hydrocortisone hali uweza kuwa ya Kawaida .

 

3. Dawa hizi utolewa kwa kupulizia mgonjwa kwenye mfumo wa hewa na nyingine zinaweza kupitia kwenye mishipa na pia Kuna nyingine ambazo upewa kwa kumeza na pia zote ufanya kazi Ile Ile ya kusaidia mtu mwenye aleji.

 

4. Dawa hii ya hydrocortisone Ina milligrams tano ambazo utolewa kwa watoto na milligrams kumi kwa watu wazima na pia utolewa kila baada ya masaa sita mpaka dozi inaisha ,pia dozi yenyewe pamoja na kutegemea umri na pia utegemea uzito wa mtu mmoja na mwingine.

 

5. Pia dawa hii utolewa kwa watu mbalimbali ila Kuna watu ambao Wana aleji na dawa hii hawapaswi kuitumia au kwa wale wenye presha ya kupanda wanapaswa kutumia dawa hii kwa ushauri wa wataalamu wa afya.

 

6. Vile vile dawa hii Ina maudhi madogo madogo kama vile mapigo ya moyo kwenda mbio na pia wakati mwingine kuishiwa nguvu na maumivu ya kichwa kwa hiyo tunapaswa kuitumia kwa utaratibu wa wataalamu wa afya.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Dawa Main: Post File: Download PDF Views: 2969

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 web hosting     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

Matibabu ya ugonjwa wa uti wa mgongo

Posti hii inahusu zaidi matibabu kwa mgonjwa wa uti wa mgongo, kwa kawaida tunajua kuwa homa hii ya uti wa mgongo usababisha na wadudu mbalimbali kama vile bakteria, virus, fungasi, sumu mbalimbali kama vile madini ya lead na arseni, na vitu kama vile Mag

Soma Zaidi...
Fahamu dawa za kutuliza kifafa inayoitwa phenobarbital

Post hii inahusu dawa za kutuliza kifafa, zipo dawa mbalimbali za kutuliza kifafa Leo tutaona dawa mojawapo inayoitwa phenobarbital katika kutuliza kifafa.

Soma Zaidi...
Fahamu matumizi ya Dawa iitwayo paracetamol.

Paracetamol kwa jina kingine hujulikana kama(acetaminophen) ni dawa ya kawaida ya kutuliza maumivu ambayo hutumiwa kupunguza aina mbalimbali za maumivu. Paracetamol ndilo jina linalojulikana zaidi katika kutuliza maumivu ya kawaida. Paracetamol inajulik

Soma Zaidi...
Njia zinazotumika Ili kumpatia mgonjwa dawa

Posti hii inahusu zaidi njia kuu nne ambazo utumika kumpatia mgonjwa dawa, Ili kumpatia mgonjwa dawa Kuna njia za kutumia kama ifuayavyo.

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu dawa ya parental Artusnate dawa ya kutibu malaria sugu

Post hii inahusu zaidi dawa ya Parental Artusnate ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa malaria sugu kama tutakavyoona hapo baadaye.

Soma Zaidi...