Post hii inahusu zaidi dawa zinazofanya kazi ya kupunguza maumivu kwa kawaida dawa hizi ufanya kazi kwa kupitia kwenye mfumo wa fahamu.
1 . Hizi ni dawa ambazo kwa kawaida uingia kwenye mfumo wa fahamu na kuvunja mfumo wa kuzalishwa prostagland ambayo usaidia kusafirisha ujumbe kutoka sehemu Moja na kwenda nyingine kwa hiyo kama Kuna maumivu sehemu na ukatumia dawa ya kuzuia maumivu prostaglands uweza kuvunjwa kwa hiyo hayo maumivu hayawezi kusambaa kutoka sehemu Moja kwenda nyingine.
2. Pia dawa hizi haiitumiki kupunguza maumivu ty Bali Kuna nyingine ambazo usaidia kumshusha joto la mwili na kuwa kawaida. Dawa zenyewe ni kama zifuatazo.
3.hizi dawaa uweza kupunguza maumivu ya Kawaida na maumivu makali kadri ya wataalamu wa afya watakavyoweza kueekeza pia dawa hizi Zina utaratibu wake wakati wa kutumia Kuna nyingine hazipaswi kutumiwa na watu Fulani na nyingine zinapaswa kutumiwa na watu Fulani kadri ya maagizo na maelekezo ya wataalamu wa afya ka hiyo hatupaswi kuzitumia kiholela ni vizuri kabisa kutumia kwa maelekezo.
4. Na pia Kuna Mila na destri za watu Katika matumizi ya dawa za maumivu kwa mfano mtu akipata maumivu Fulani ananunua Panadol mbili kama ni mtu mzima kama ni mtoto atatumia kadri ya dozi yake na maumivu yakiisha anaendelea na maisha, na akihisi maumivu tena anaendelea kufanya hivyo hata kwa wiki nzima , kwa kufanya hivyo anakuwa anafubaza ugonjwa hali inayosababisha ugonjwa kuendelea kukua na kulipuka hatimaye hali ya mgonjwa huwa mbaya.
5. Kwa hiyo ni vizuri kabisa ukituma dawa ya maumivu Zaid ya mara mbili bila nafuu wahi hospital mapema Ili kuweza kuepuka madhara yanaweza kuripuka kwa sababu ya matumizi mabaya ya dawa za maumivu, kwa hiyo dawa za maumivu kazi yake ni kupunguza maumivu sio kufubaza ugonjwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa ya Parental Artusnate ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa malaria sugu kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukuletea dawa za kutibu ugonjwa wa macho
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya pyrantel pamoate ni dawa ambayo usaidia kutibu minyoo ambayo kwa kawaida ukaa kwenye utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Ukiwa mjamzito uwe makini sana katika kuchagua matumizi ya dawa. Vinginevyobinawwza kuwa hatari. Hapa nitakujuza dawa ambazo ni hatari kutumia kwa ujauzito wako.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya cardiac glycoside katika matibabu ya magonjwa ya moyo,dawa maalum ambayo imo kwenye kundi hili la cardiac glycoside ni digoxin, ni dawa muhimu ambayo utumika kwenye mfumo wa vidonge mara nyingi.
Soma Zaidi...Utajifunza dalili za fangasi mdomoni na ulimini, sababu za fangasi wa mdomoni na ulimini, matibabu yeke na njia za kukabiliana nao
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya paracetamol katika kutuliza maumivu, ni Aina ya dawa ambayo utumiwa sana katika kutuliza maumivu kwa wagonjwa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa za kifua kikuu ni dawa ambazo utumika kutibu kifua kikuu, kwanza kabisa kabla ya kuanza kufahamu dawa hizo ni vizuri kabisa kufahamu kifua kikuu nini hili kuweza pia kufahamu dawa zake.
Soma Zaidi...