Fahamu kazi za homoni katika kupamba na kansa.

Post hii inahusu zaidi homoni mbalimbali ambazo upambana na kansa, hizi homoni zikitumika vizuri matokeo yake huwa na mazuri pia kwa wagonjwa wa kansa.

Fahamu kuhusu homoni katika kupambana na kansa.

1. Katika kupambana na kansa kuna aina mbalimbali za homoni ambazo ni kama dawa ya kupambana na ugonjwa huu wa kansa homoni hizo ni kama progesterone, steroids,na oestrogen kila homoni huwa na kazi tofauti tofauti katika kupambana na kansa.

 

2. Steroids homoni,

Kwa upande wa homoni hizi katika kupambana na kansa inazuia kukua na kuongezeka kwa seli ambazo hazihiitajiki kuendelea kusababisha kansa na kuhakikisha hali inaendelea vizuri kwa waliowahi matibabu.

 

3. Aina nyingine ya homoni ni progesterone homoni, hii ni aina ya homoni ambayo usaidia kuzuia kansa ya kwenye matiti, pia na homoni hizi huwa na dawa mbalimbali kama vile Tamoxifen ambayo ni dawa ndani ya progesterone homoni kwa kawaida uzuia kansa ya matiti ambayo utegemea homoni ya kawaida ya progesterone.

 

4. Pia kuna oestrogen homoni na yenyewe ni mojawapo ya dawa kwenye mapambano ya kansa ni dawa inayosaidia kutibu kansa ya tezi dume kwa wale waliowahi kupata matibabu. Na pia kwenye homoni huu kuna dawa ndani yake ambayo kwa kitaalamu huitwa ethinyloestradol ambayo usaidia sana kwa wagonjwa wa tezi dume.

 

5. Kama dawa nyingine za kansa vile na homoni nazo zina maudhi madogo madogo kama vile vidonda kwenye midomo, nywele kunyonyoka, viupele na upungufu wa seli.kwa watumiaji wanapaswa kuitumia kwa uangalifu na kwa utaratibu wa wataalamu wa afya.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2023/01/03/Tuesday - 06:28:06 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 557


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-