Fahamu kuhusu dawa ya Acetohexamide

Post hii inahusu zaidi dawa ya Acetohexamide kwa matibabu ya sukari, kama tulivyoona katika post iliyopita kwamba kuna kipindi ambacho kongosho linatoa insulini lakini seli haziko tayari kupokea hiyo insulini.

Dawa ya Acetohexamide katika kutibu au kurekebisha sukari.

Dawa ya Acetohexamide ni dawa ambayo usaidia wagonjwa wa kisukari kwenye daraja la pili ambapo kongosho lina uwezo wa kutoa insulini lakini seli hazipokei hiyo insulini kwa sababu mbalimbali,kwa hiyo kazi ya Acetohexamide ufanya kazi ya kufanya kuhakikisha kwamba seli zinakubali insulini iliyozalishwa.

 

2. Pia dawa hizi ya Acetohexamide ina maudhui mbalimbali kama vile sukari kushuka , mwili kuishiwa nguvu,macho kutoona vizuri, kutokwa na jasho mara kwa mara, maumivu ya tumbo na kuna kipindi wengine wanazima kabisa.

 

3. Kwa hiyo dawa hii tusitumie kiholela tunapaswa kuitumia kwa maagizo ya wataalamu wa afya.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/31/Saturday - 09:13:40 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 492


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-