Fahamu kuhusu dawa ya griseofulvin

Post hii inahusu zaidi dawa ya griseofulvin ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye ngozi ambazo usababisha mabaka mabaka kwenye ngozi.

Fahamu kuhusu dawa ya griseofulvin .

1. Kama tulivyoona hapo mbele kuhusu dawa ya griseofulvin ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa fangasi za kwenye ngozi, kwa kawaida kwenye ngozi kunakuwepo na maambukizi ya aina mbalimbali za fungasi kwa hiyo ni vizuri kabisa kutumia dawa hii kwa usahihi kabisa kadri ya wataalamu wa afya.

 

2. Kwa kawaida dawa hii utumika kwenye ngozi na kiwango cha kufanya kazi ni kikubwa kwa hiyo uzuia maambukizi kwenye ngozi, kwa hiyo kuanzia mda ulioanza kutumia na matokeo ya kupona yanaweza kuonekana kuanzia wiki ya pili mpaka wiki ya sita kwa upande wa ngozi, pia kwa upande wa ngozi ya kichwa na penyewe dawa hizi utumika na pia kupona utegemeza kuanzia wiki ya pili mpaka wiki ya sita hivi.

 

3. Pia dawa hii ya griseofulvin haitumiki kwenye ngozi ya kawaida na kwenye nywele tu bali usaidia pia kwenye kwenye maambukizi ya kucha na kwa hiyo kama kucha zimeharibiwa na wadudu usaidia kuua wadudu hao na kufanya kucha kutwa nzuri na za kuvutia, kwa wenye shida ya matatizo ya kwenye kucha tiba yake uenda kwa utaratibu na hatimaye kucha zinajirudia na kuwa kawaida.

 

4. Dawa hii ufanya kazi kwa kuzuia kazi ya enzyeme ambayo kwa kitaalamu huitwa cytochrome p450 ni enzyeme ya mdudu ambaye usababisha kuwepo kwa fangasi kwenye ngozi na kwenye kucha, kwa hiyo dawa ya griseofulvin uenda kuharibu kazi ya mdudu huyu na kusababisha kupona kwa mgonjwa.na pia dawa hii uzuia kutengenezwa kwa polymerization of nucleic acids ambayo usababishwa na mdudu anayesababisha fangasi kwenye ngozi na kwenye kucha.

 

5. Kwa hiyo dawa hii haipaswi kutumiwa na wale wenye aleji na griseofulvin na pia kutumia dawa hii ni vizuri kutumia kwa ushauri wa wataalamu wa afya hairuhusiwi kutumika kiholela hohlela.

 

6. Pia dawa ina maudhi ambayo yanaweza kutokea kwa watumiaji ambayo ni pamoja na maumivu ya kichwa ya mara kwa mara wakati wa kutumia, hali hiyo ni kawaida ila maumivu yalizidi onana na wataalamu wa afya.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/15/Thursday - 01:05:47 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1845

Post zifazofanana:-

Matibabu ya macho
Somo Hili linakwenda kukuletea matibabu ya macho Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa ya ketoconazole.
Post hii inahusu zaidi dawa aina ya ketoconazole ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye koo. Soma Zaidi...

Uchunguzi wa Nimonia kwa mtoto na Tiba
Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia Soma Zaidi...

IJUE DAWA YA AMOXLINE (antibiotic) NA MATUMIZI YAKE
Posti hii inahusu zaidi dawa ya amoxline .jinsi inavyofanya kazi mwilini.pamoja na matumizi yake. Soma Zaidi...

Je, wajua sababu zinazopelekea maumivu ya Matiti kwa wanawake?
Maumivu ya matiti ni malalamiko ya kawaida miongoni mwa wanawake yanaweza kujumuisha uchungu wa matiti, maumivu makali ya kuungua au kubana kwenye tishu zako za matiti. Maumivu yanaweza kuwa ya mara kwa mara au yanaweza kutokea mara kwa mara tu. Maumiv Soma Zaidi...

Kazi kuu tatu za vitamini C mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi kuu tatu za vitamini C Soma Zaidi...

Faida za tangawizi
Somo Hili linakwenda kukuletea faida za tangawizi Soma Zaidi...

Kushambukiwa kwa moyo na kupumua
Post hii inahusu zaidi kuhusu kushambuliwa kwa moyo na kupumua, kushambuliwa kwa moyo na kupumua kwa kitaala huitwa (cardiopulmonary Arrest) ni kitendo Cha kusimama ghafla kwa moyo na kupumua. Soma Zaidi...

Siku ya sita ya wageni
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

Vijuwe vyakula vinavyoongeza damu kwa haraka
Post hii itakufundisha aina za vyakula ambavyo vinaweza kuongeza damu kwa haraka. Soma Zaidi...

Upungufu wa damu wa madini (anemia ya upungufu wa madini)
upungufu wa damu wa madini ya chuma'ni aina ya kawaida ya'upungufu wa damu hali ambayo damu haina chembe nyekundu za damu zenye afya. Seli nyekundu za damu hubeba oksijeni kwa tishu za mwili. Bila chuma cha kutosha, mwili wako hauwezi kutoa dutu ya k Soma Zaidi...

Dalili za selulitis.
Selulitis ni maambukizi ya ngozi ya bakteria ya kawaida, ambayo yanaweza kuwa mbaya. Cellulitis inaonekana kama sehemu nyekundu ya ngozi iliyovimba na inahisi joto na laini. Inaweza kuenea kwa kasi kwa sehemu nyingine za mwili. Cellulitis haienei kuto Soma Zaidi...