Fahamu kuhusu dawa ya loperamide dawa ya kuzuia kuharusha

Post hii inahusu zaidi dawa ya loperamide ni dawa ambayo inazuia kuharisha ni dawa inayofanya kazi kuanzia kwenye utumbo na pia usaidia kutuliza maumivu ya tumbo

Fahamu kuhusu dawa ya loperamide .

1. Kama tulivyoona hapo mwanzoni kuhusu dawa hi ya loperamide ni dawa muhimu ambayo imependekezwa kutibu kuharisha pia dawa hii utumiwa na watu mbalimbali.

 

 

 

2. Dawa hii mara nyingi huwa kwenye mfumo wa vidonge na pia ufika Moja kwa moja kwenye mmengenyo wa chakula na kuweza kutuliza maumivu ya tumbo na pia ufanya Kazi hasa kwenye utumbo mdogo na mkubwa.

 

 

 

3. Mara nyingi chanzo cha kuharisha huwa ni maambukizi kwenye utumbo na pia mtu kuharisha ni kama kutoa uchafu kwenye mwili kwa hiyo dawa hii upambana na maambukizi ambayo yametokea na kuhakikisha kuwa kuharisha kumekoma.

 

 

 

 

4. Dawa hii utumika kwaa watu mbalimbali ila haipaswi kutumiwa na wanye aleji na loperamide na pia haipaswi kutumiwa na watoto wadogo na akina mama wanaonyonyesha watoto wachanga wanapaswa kuitumia kwa taahadhari au kwa ushauri wa wataalamu wa afya.

 

 

 

5. Vile vile dawa hii haipaswi kutumiwa kiholela inapaswa kutumiwa kulingana na wataalamu wa afya kwa sababu ya watu ambao hawapaswi kutumia wanaweza kutumia wakapata matatizo mbalimbali kwa hiyo ni vema kabisa kuitumia kwa uangalizi mkubwa.

 

 

 

 

6. Pia dawa hii Ina maudhi madogo madogo ambayo yanaweza kutokea kama vile kizunguzungu, maumivu ya kichwa, kukosa hamu ya kula na pia kuharisha kunaweza kuisha na choo kikawa kigumu.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/23/Friday - 02:45:42 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 968


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-