Fahamu kuhusu dawa ya mebendazole

Post hii inahusu zaidi dawa ya mebendazole ni dawa ambayo utumika kutibu minyoo ambayo utokea kwa watoto na watu wazima.

Fahamu kuhusu dawa ya mebendazole .

1. Dawa hii ni mojawapo kwa dawa ambazo zimependekezwa kutibu ugonjwa wa minyoo, hii dawa ikitumika inavyopaswa uwezo wa kuua minyoo ni kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu uua aina mbalimbali za minyoo kama ifuatavyo. Aina hii ya minyoo imo kwenye lugha ya kitaalamu kwa majina yake lakini lengo ni kuua minyoo majina hayo ni hookworm, thread worm, round worm na whipworm hao wote ni aina ya minyoo.

 

2. Kwa watumiaji wa dawa hii kwa kawaida uitumia kabla ya chakula au baada ya kumaliza kula chakula na kwa kawaida utafunwa na kumezwa na iko kwenye mfumo wa vidonge .

 

3. Dawa hi inaweza kutumika kwa watu mbalimbali watoto na watu wazima ila haipaswi kutumiwa na watoto chini ya miaka miwili na pia wanawake wenye mimba changa kwa sababu dawa hii inawezekana kutoa mimba changa na kwa watoto wadogo wenye chini ya miaka miwili uweza kupata degedege ikiwa wanatumia dawa hii mara kwa mara.

 

4. Pia dawa hii inawezekana kuleta maudhui madogo madogo kwa watumiaji kama vile maumivu ya tumbo na tumbo kujaa gesi, maumivu ya kichwa na pia kichefuchefu na kutapika.

 

5. Kwa sababu dawa hii ina madhara kwa watoto na mama wenye mimba changa ni vizuri kupata ushauri wa daktari kabla ya kutumia.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/15/Thursday - 10:28:46 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 784


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-