image

Fahamu kuhusu dawa ya parental Artusnate dawa ya kutibu malaria sugu

Post hii inahusu zaidi dawa ya Parental Artusnate ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa malaria sugu kama tutakavyoona hapo baadaye.

Fahamu kuhusu dawa ya Parental Artusnate.

1.Ni aina ya dawa ambayo inatumika kutibu malaria sugu, tunahita malaria sugu kwa sababu ya dalili zake ambazo ujitokeza kwa mgonjwa, dalili hizo ni kama ifuatavyo, mgonjwa anakuwa amechoka sana, mgonjwa anakuwa amezimia au hana fahamu, pia kunakuwepo na upungufu wa damu kwa sababu ya kuharibikiwa kwa chembe chembe za seli, tabia ya mgonjwa ubadirika na pengine kuna wagonjwa ambao malaria uwaingia kichwani na kutaka kukimbia kwa kitaalamu huitwa cerebral malaria au malaria iliyomuingia mtu kichwani.

 

2. Pia dalili nyingine mgonjwa anakuwa anapumua vibaya mpaka anawekewa mashine ya kumsaidia kupumua, na kwa wakati mwingine mgonjwa anakuwa anatokwa damu kwenye fizi na kwenye pua, na dalili nyingine mgonjwa anakuwa na njano au akitapika utafika njano tu kwa sababu ya kuharibikiwa kwa chembe chembe ndogo za seli,au dalili nyingine mgonjwa anaweza kuwa na degedege hata kama ni mtoto au mtu mzima kwa malaria sugu degedege uwapata wote.pia mgonjwa anashindwa kula kabisa au ikitokea akala anatapika kila kitu.

 

3. Baada ya kuona dalili kama hizi moja kwa moja hizi ni dalili za malaria sugu kwa hiyo Parental Artusnate utumika kutibu malaria ya aina hizi, na pia  vipimo upima kama vile damu ni kuthibitisha kuwepo kwa malaria, kwa kawaida dawa hii upitishwa kwenye damu dozi ya kwanza mgonjwa hupata na baada ya kuipata atapata nyingine baada ya masaa kumi na mawili na pia anasubiri baada ya masaa mengine kumi na mawili kwa kawaida dozi ambayo utokea ni dozi tatu na hapo mgonjwa anakuwa ameshapata nafuu na kama hali haijakaa sawa anaweza kuongezewa kwa kufuatana na utaratibu wa wataalamu wa afya.

 

4. Kwa kawaida baada ya kutumia dawa ya Parental Artusnate ni vizuri na ni lazima mgonjwa amalize kwa kutumia vidonge vya ALU ili kumalizia malaria iliyobaki, kwa kawaida dawa hizi iko kwenye muundo wa Poda na pia ina vibox viwili  moja ni ndogo ambayo kwa kitaalamu kuna aina ya dawa ambayo uchanganyikana na dawa ambayo imo kwenye ka kopo kakubwa na baadae Poda uchanganyawa na ile dawa mpaka inakuwa clealy kwa ajili ya alivyo agiziwa Mgonja .

 

5. Kwa hiyo dawa hizi inapaswa kutumiwa na watu kwa kufuata utaratibu na kuomba ushauri kwa waty mbalimbali kuhusu dawa hizi.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1099


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Dapsone na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi dawa ya Dapsone na kazi zake, hii ni dawa ambayo utumika katika kutibu ugonjwa wa ukimwi, dawa hii ufanya kazi kwa mchanganyiko wa dawa nyingine kama vile Rifampicin na clofaximine. Soma Zaidi...

Dawa ya Carvedilol na kazi yake.
Posti hii inahusu zaidi dawa ya Carvedilol na kazi yake, ni dawa inayotibu au kuzuia mapigo ya moyo ambayo yako juu na kusababisha kulegeza kwa mishipa ya moyo. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa ya ketoconazole.
Post hii inahusu zaidi dawa aina ya ketoconazole ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye koo. Soma Zaidi...

mtu anapo anza tumia arv kwa mara ya Kwanza inaweza mletea shda Zaid na kutetereka afya
Soma Zaidi...

Fahamu dawa ya maumivu aina ya indomethacin
Post hii inahusu zaidi dawa ya kutibu au kutuliza maumivu, kwa majina huiitwa indomethacin ni dawa inayotumika kutuliza maumivu ya Kawaida. Soma Zaidi...

Dawa za kutibu kiungulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za kutibu kiungulia Soma Zaidi...

Fahamu dawa zinazotumika kwenye matibabu ya kansa
Post hii inahusu zaidi dawa ambazo zinatumika kwenye matibabu ya kansa, dawa hizi usaidia kuharibu seli ambazo ambazo hazistahili kwa kitaalamu huitwa malignant seli. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa za Doxorubicin na Daunorubicin
Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa. Soma Zaidi...

Dawa mbadala za vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa mbadala za vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

Fahamu dawa za kutuliza kifafa inayoitwa phenobarbital
Post hii inahusu dawa za kutuliza kifafa, zipo dawa mbalimbali za kutuliza kifafa Leo tutaona dawa mojawapo inayoitwa phenobarbital katika kutuliza kifafa. Soma Zaidi...

Fahamu kazi za homoni katika kupamba na kansa.
Post hii inahusu zaidi homoni mbalimbali ambazo upambana na kansa, hizi homoni zikitumika vizuri matokeo yake huwa na mazuri pia kwa wagonjwa wa kansa. Soma Zaidi...

Fahamu dawa za 5-fluorouracil,Tegafur na uracili
Post hii inahusu zaidi dawa za 5-fluorouracil, Tegafur na uracili katika kupambana na kansa. Soma Zaidi...