Fahamu kuhusu dawa za Doxorubicin na Daunorubicin

Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa.

Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin, Daunorubicin katika kupambana na kansa.

1. Hizi ni dawa ambazo zimo kwenye kundi la antitumor antibiotics ,ni dawa ambazo zinatokana na material kutoka kwenye fungi wanaotokana na udongo ufanya kazi kwa kuingilia kazi za seli kwa kuzuia kuendelea kwa kazi ya nuclear ambayo kwa kitaalamu huitwa DNA na pia dawa hizi uingilia  protein ya DNA kwa kufanya hivyo seli ambazo hazihiitajiki kuzuiliwa kuendelea kukua na kuongezeka kwenye mwili.

 

2. Dawa hizi pia usaidia kwenye matibabu ya kansa ya damu, kansa ya kwenye tumbo, kansa ya ngozi na pia kansa kwenye milango ya fahamu yaani kwenye macho, pua na sehemu mbalimbali na pia usaidia usaidia kwenye kupambana na kansa ambazo usababisha uvimbe.

 

3. Kwa matumizi ya dawa hizi uweza kuleta pia maudhui madogo madogo kama vile kupungua kwa kiwango cha seli mwilini,kwa sababu dawa hizi zinapokuwa zinapambana na seli ambazo hazihiitajiki usababisha kuua na seli nyingine ambazo ziko nzima hali inayosababisha kupungua kwa seli mwilini, kwa hiyo matunzo kwa mgonjwa huyu ni ya muhimu kama vile ulaji wa mlo kamili,matunda na mbogamboga za majani.

 

4. Pia na maudhui mengine ni kama vile kuwepo kwa vidonda kwenye midomo, mabadiliko ya ngozi yaani kuwepo kwa upele na kwa upande wa kichwani nywele uanza kunyonyoka na pia kuna wagonjwa ambao wanaweza kuwa na choo kigumu, pengine kichefuchefu na kuharisha. Kama maudhi madogo madogo yanafanya hali ya mgonjwa kuwa mbaya ni vizuri kabisa kubadilisha dawa ili mgonjwa awe na hali ya kawaida.

 

5. Kwa hiyo dawa hizi hazitumiki kiholela bali ni kwa maagizo ya wataalamu wa kwa sababu matokeo ya dawa hizi mengine ni makali yanahitaji uangalizi.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2023/01/03/Tuesday - 06:11:05 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 564


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-