Post hii inahusu zaidi dawa mbalimbali za kutibu minyoo, tunafahamu kabisa minyoo ni ugonjwa ambao uwapata watu mbalimbali hasa watoto.
1. Kama nilivyoeleza hapo juu kwamba kuna dawa mbalimbali za kutibu minyoo, kabla ya kuona dawa hizo tunapaswa kujua aina mbalimbali za minyoo ambazo usababisha ugonjwa kwa binadamu na pia tutaweza kuonesha dawa hizo.
2. Kama tunavyojua kwamba kuna makundi mbalimbali ya minyoo ambayo kwa kitaalamu huitwa Nematode, cestode na Trematode na pia kila kundi lina makundi yake na makundi hayo utibiwa kwa dawa tofauti kutokana na mnyoo uliosababisha ugonjwa huo.
3. Kuna kundi la nematode ambalo lina makundi madogo madogo kama vile giant roundworms, pinworms, hookworms, whipworm na thread worm hiyo minyoo utibiwa na dawa zake maalum kadri ya kundi lilivyo.
4. Kundi la pili ni kundi ambalo kwa kitaalamu huitwa cestode, na huwa na kundi lake ambalo ni beef tapeworm minyoo inayopatikana kwenye nyama, pork tape worm ni minyoo inayopatikana kwenye nyama ya nguruwe, fish tape worm ni minyoo inayopatikana kwenye samaki, hili kundi nalo lina dawa zake kama tutakavyokuja kuchambua moja na nyingine.
5. Kundi lingine kwa kitaalamu linajulikana kama Trematodes na lenyewe lina makundi yake madogo madogo kama vile blood fluke, intestine fluke, lungs fluke, liver fluke,Clonorchis sinensis, na pia hili kundi lina dawa zake maalum za kutibu kulingana na sehemu na aina ya mnyooo kwa hiyo baada ya kujua minyoo mbalimbali ni vizuri kufahamu na dawa zake kama ifuatavyo.
6. Dawa za kutibu minyoo
7.Pia dawa hizi huwa na maudhi mbalimbali ambayo ni kama vile maumivu ya tumbo, kutapika, kuharisha, kizunguzungu na maudhi madogo madogo kama hayo ila uisha taratibu na pia katika matumizi ya dawa hizi hali ya maudhi ikizidi ni vizuri kuwaona wataalamu wa afya kwa maelekezo zaidi.
8. Kwa hiyo hizi dawa hazitumiwa kiholela kuna watu ambao hawapaswi kutumia dawa fulani na wengine wanapaswa kutumia kwa hiyo tutaenda kuchambua dawa moja baada ya nyingine hapo mbeleni.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi kundi la diuretics,ni kundi mojawapo kati ya makundi ya dawa zinazosaidia katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Sp , kirefu cha dawa hii ni sulphadoxine na pyrimethamine hii dawa ilitumika kutibu malaria kwa kipindi fulani lakini sasa hivi imebaki kutumiwa na wajawazito kama kinga ya kuwazuia kupata malaria.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za vidonge vya antroextra, ni vidonge kwa ajili ya mifupa, viungo na gegedu, hivi vidonge vimetumiwa na watu wengi na matokeo yake ni mazuri sana, kwa hiyo zifuatazo ni faida za vidonge hivi.
Soma Zaidi...Utaijuwa Dawa ya maumivu ya jino, sababu za maumivu ya jino na njia za kujikinga na maumivu ya jino
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya phenytoin,ni dawa inayotuliza mishutuko mbalimbali inayoweza kutokea kwenye mwili na kutokana na mishutuko hiyo tunaweza kupata kifafa.
Soma Zaidi...Zipo dawa nyingi ambazo hufahamika katika kutibu fangasi kwenye mdomo ama kinywa. Miongoni mwa dawa hizo hapa nitakuletea baadhi yao. kama wewe pia unasumbuliwa na fangasi wa mdomo basi post hii itakusaidi sana.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya amoxline .jinsi inavyofanya kazi mwilini.pamoja na matumizi yake.
Soma Zaidi...