Fahamu kuhusu kazi za ini.

Posti hii inahusu zaidi kazi za ini, kwa kawaida tunafahamu kwamba ini ni sehemu muhimu kwenye mwili wa binadamu kwa sababu ni.likikosa kufanya kazi yake maisha ya binadamu yanakuwa hatarini kwa sababu mbalimbali.

Fahamu kuhusu Ugonjwa wa ini.

1. Kazi ya kwanza ya ini ni kuondoa sumu mwilini.

Kwa kawaida kwenye mwili wa binadamu kuna sumu nyingi na sumu hiyo upatikana kwenye vyakula mbalimbali kwa hiyo ini usaidia kuondoa sumu mwilini.

 

2. Kuzalisha nyonga.

Kwa kawaida kazi ya nyonga ni kubadilisha vyakula vyenye mafuta na kuviweka kwenye sehemu muhimu ili viweze kufanya kazi vizuri kwenye mwili.

 

3. Kutawala sukari iliyo mwilini.

Kwa kawaida kama kuna sukari nyingi mwilini ini ndilo linahusika kufanya kazi hiyo.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/21/Thursday - 11:00:07 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1010


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-