Fahamu kuhusu Ugonjwa wa ukoma
Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa ukoma ni Ugonjwa unaosababishwa na bacteria anayejulika kama mycobacterium leprae.
Ufahamu ugonjwa wa ukoma.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kwamba Ugonjwa huu unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa kugusana na mtu mwingine au kwa hewa kwa hiyo ni vizuri kuepuka kugusana na watu wenye ukoma na pia kuepukana kugusana na watu wenye ukoma bila sababu na tuwe na tahadhari wakati wa kugusana nao.
2. Kuna Dalili mbalimbali ambazo zinaweza kujitokeza kwa mtu mwenye Ugonjwa wa ukoma kama vile Neva za mwili kushindwa kufanya kazi hali ambayo Usababisha hata vidole vya mikono au miguu kudondoka bila mgonjwa mwenyewe kuwa na taarifa kwa hiyo hali hii upelekea wagonjwa kujitenga na jamii wakijiona kama wana mapungufu na sio kama watu wengine.
3. Pia mgonjwa anahisi mwili wake unawaka moto hasa hasa kwenye sehemu za Maambukizi kwa hiyo mgonjwa uhisi kuwa na hali ya kutotulia kwa sababu ya hali anayoisikia.
4. Kutohisi maumivu kwenye sehemu yenye Maambukizi kwa kuwa hakuna mawasiliano kwenye mwili wa mgonjwa hata sehemu zinazokatika Maumivu yanakuwa hayapo
5. Kutokuwepo kwa maumivu kwenye vidonda,tunaelewa kwamba kama kuna vidonda kwenye sehemu ya mgonjwa mara nyingi Maumivu huwa hayapo hali ambayo uwafanya wagonjwa kutoona umuhimu wa kutibu tatizo lao kwa sababu hata kwenye vidonda hakuna maumivu kwa hiyo vidonda uongezeka hali inayopelekea kuongezeka kwa Maambukizi.
6.Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwapeleka wagonjwa wa ukoma hospitalini ili wapate dawa kwa sababu kuna dawa ambazo utibu huu Ugonjwa na wengi wamepona kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwahi matibabu mapema maana kadri unavyowahi na matibabu huwa ya kawaida.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 ai web app 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Msaada kwa Mgonjwa aliyeshindwa kupitisha mkojo.
Posti hii utokea huduma ya kwanza kwa mtu aliye na shida ya kushindwa kupitisha mkojo kutoka kwenye kibofu Cha mkojo,
Soma Zaidi...Dalilili za saratani ya utumbo
Saratani ya Utumbo ni Saratani ya utumbo mpana (koloni), sehemu ya chini ya mfumo wako wa usagaji chakula. Kwa pamoja, mara nyingi hujulikana kama Saratani ya utumbo mpana. Visa vingi vya Saratani ya utumbo mpana huanza
Soma Zaidi...Fahamu Ugonjwa wa Brucellosis
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa Brucellosis ni maambukizi ya bakteria ambayo huenea kutoka kwa wanyama hadi kwa watu mara nyingi kupitia maziwa ambayo hayajasafishwa au kuchemshwa vizuri na bidhaa zingine za maziwa. Mara chache zaidi, ba
Soma Zaidi...Ugonjwa wa kuporomoka kwa mapafu (pneumothorax)
Posti hii inazungumzia Ugonjwa wa mapafu ambao hujulikana Kama pafu lililoporomoka (Pneumothorax) hutokea wakati hewa inavuja kwenye nafasi kati ya mapafu yako na ukuta wa kifua. Hewa hii hutoka nje ya pafu lako. Ugonjwa huu unaweza kusababishwa na jera
Soma Zaidi...Walio kwenye hatari ya kupata UTI
Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata UTI, ni watu ambao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI kwa sababu ya mazingira mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Njia za jumla za kujikinga na magonjwa mbalimbali
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kujikinga na magonjwa, kwa kawaida tunajua wazi kuwa magonjwa yapo na yanasambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na mengine hayasambai yanaweza kumpata mtu mmoja akapona au magonjwa mengine si ya kupona
Soma Zaidi...