Post hii inahusu zaidi kundi la beta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo,hili kundi lina dawa mbalimbali ambazo utumika katika matibabu ya magonjwa ya moyo na kila dawa tutaiongelea tofauti tofauti ili kuweza kujua kazi zake.
Fahamu kundi la Bata blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
1. Kama tulivyoona hapo mwanzoni kwamba hili kundi ambalo usaidia katika matibabu ya magonjwa ya moyo kwa kuwepo dawa tofauti tofauti kwenye kundi hili ambazo nazo uweza kufanya kazi tofauti tofauti kadri ya tatizo la mgonjwa, kwa hiyo kundi hili lina dawa ya atenolo, carvedilo,propanol na labetalolol kwa hiyo dawa hizi kutwa kwenye kundi la beta blockers.
2. Kwa ujumla kundi hili pamoja na kuwepo kwa dawa tofauti usaidia kutibu mapigo ya moyo ambayo siyo ya kawaida, kwa hiyo kuna kipindi mapigo ya moyo yanaweza kubadilika na kuwa na spidi kubwa au wakati mwingine spidi kuwa ndogo, yaani kwa ujumla mapigo ya moyo kutokuwa ya kawaida kwa matumizi ya dawa hii usaidia mapigo ya moyo kuwa ya kawaida.
3. Vile vile dawa hizi ambazo zipo kwenye kundi hili la beta blockers ufanya kazi ya kupanua mishipa ya damu na kusababisha damu iweze kusafiri vizuri, kwa hiyo nazo usaidia kwenye matibabu ya presha ya kupanda, yaani kwa kitaalamu hypertension, na pia usaidia kwa watu wenye matatizo ya heart attack, kwa hiyo dawa hizi ufanya kazi kubwa katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
4. Kwa sababu kundi hili la beta blockers ufanya Kazi mbalimbali na huwa na dawa tofauti tofauti na kila dawa ina matumizi yake ni vizuri kutumia dawa hizi kwa maagizo ya wataalamu wa afya kwa sababu kila dawa kwenye kundi hili huwa na kazi maalumu, kwa hiyo dawa hizi hazitumiki kiholela bali ni kwa utaratibu maalum kadri ya tatizo la mgonjwa.
5. Kwa hiyo kutokana na kuwepo kwa dawa mbalimbali kwenye kundi hili kuna wengine watapaswa kutumia na wengine hapana kwa mfano kwa wale wenye presha ya kushuka hawapaswi kutumia baadhi ya dawa kwenye kundi hili kwa hiyo wataalamu wa afya ni lazima wahusike kwenye matumizi ya dawa hizi.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 572
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Kitabu cha Afya
👉4 Madrasa kiganjani
👉5 kitabu cha Simulizi
Dawa ya kuzuia kuathirika kwa watu walio hatarini kupata VVU
Somo hili linakwenda kukuletea dawa ya kuzuia kuathirika kwa watu walio hatarini kupata VVU Soma Zaidi...
Dawa za maumivu ya jino
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za maumivu ya jino Soma Zaidi...
Faida za dawa za NMN
Posti hii inahusu zaidi faida za dawa za NMN maana yake ni Nicotinamide mononucleotide ni dawa ambazo usaidia kutibu magonjwa mbalimbali kama vile. Soma Zaidi...
Fahamu dawa ya kutibu kikohozi inayoitwa expectorant
Post hii inahusu zaidi dawa aina ya expectorant katika matibabu ya kikohozi,ni dawa ambayo usaidia au uzuia kikohozi kuendelea kutokea. Soma Zaidi...
Dawa mbadala za vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa mbadala za vidonda vya tumbo Soma Zaidi...
Fahamu matumizi ya Dawa iitwayo Aspirin.
Aspirini Ni dawa ya kutuliza maumivu.Majina yanayoaminika zaidi katika kutuliza maumivu sasa yanapatikana kwa njia mbadala inayookoa gharama kwa kutumia Aspirini. Aspirini inayopendwa na familia kwa miongo kadhaa, mara nyingi hutumiwa kupunguza maumivu y Soma Zaidi...
Fahamau madhara ya flagyl (Metronidazole)
Flagyl ni nini? Flagyl (metronidazole) ni antibiotic. Inapigana na bakteria katika mwili wako. Flagyl hutumiwa kutibu maambukizo ya bakteria ya uke, tumbo, ngozi, viungo na njia ya upumuaji. Soma Zaidi...
Fahamu matumizi ya Dawa iitwayo paracetamol.
Paracetamol kwa jina kingine hujulikana kama(acetaminophen) ni dawa ya kawaida ya kutuliza maumivu ambayo hutumiwa kupunguza aina mbalimbali za maumivu. Paracetamol ndilo jina linalojulikana zaidi katika kutuliza maumivu ya kawaida. Paracetamol inajulik Soma Zaidi...
Dawa ya kutibu mapunye
DAWA YA MAPUNYEMatibabu ya mapunye inategemea ni wapi mapunjye yapo. Soma Zaidi...
Fahamu dawa zinazopunguza maumivu
Post hii inahusu zaidi dawa zinazofanya kazi ya kupunguza maumivu kwa kawaida dawa hizi ufanya kazi kwa kupitia kwenye mfumo wa fahamu. Soma Zaidi...
Fahamu dawa ya kuzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria
Post hii inahusu zaidi dawa ya cloxacillin ambayo Iko kwenye kundi mojawapo la penicillin ambalo uzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria. Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu dawa za magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa za magonjwa ya moyo, ni dawa ambazo utumika kusaidia pale moyo kama umeshindwa kufanya kazi ipasavyo. Soma Zaidi...