Postei hizi inahusu zaidi mtindo mzuri wa maisha, yaani mtu ale ki vipi au afanyeni nini ili kuweza kuboresha afya yake.
1. Fanya mazoezi mara kwa mara walau dakika ishirini kila siku.
2.epuka vyakula vyenye mafuta kwa wingi.
3. Kunywa maji mengi ya kutosha hasa ya uvuguvugu.
4. Usijizoeze kuwa na mawazo ya mara kwa mara au kuwa na chuki kwa mda mrefu.
5.kuwa na marafiki wengi na epuka matumizi ya vileo vikali na uvutaji wa madawa ya kulevya
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Hapa tutajifunza namna ambavyo mkojo unaweza kueleza kuhusu hali ya kiafya ya mtu
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...