Fahamu sifa za Ute wa siku za kupata mimba yaani ovulation day
Posti hii inahusu zaidi sifa za Ute wa ovulation, ni Ute ambao utokea siku za ovulation yaani siku ambazo ni tayari kwa kubeba mimba, yaani siku za upevishaji wa yai.
Fahamu Ute unaotoka siku ya ovulation.
1. Ute huu ni Ute ambao utokea kwenye siku ya kubebesha mimba kama tulivyosema hapo mwanzoni ni Ute ambao hata ukiuona huwa na sifa za pekee kuliko Ute wowote ule.
2. Ute huu kwa kawaida uzalishwa kwenye shingo ya kizazi au kwa lugha nyingine ni mlango wa kizazi au kwa kitaalamu huitwa cervix.
3. Kwa hiyo kwa kawaida Ute huu ufanana na Ute wa kwenye yai huwa ni mweupe kabisa, kwa hiyo mwanamke akipata Ute wa hivi anaweza kuwa tayari kubeba mimba.
4. Kuna wakati mwingine Ute unaweza kubadilika na kuwa tofauti kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kama vile magonjwa ya zinaa na mambo mengine kama hayo, kwa hiyo ni vizuri kabisa kujua aina hii ya Ute na kuhakikisha kupata matibabu Ili kuwepo kwa Ute mzuri mweupe wa ovulation
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Njia za kiasili zilizotumika zamani kqtika kupima ujauzito
Somo hili linakwenda kukuletea njia za asili walizotumia zamani katika kupima ujauzito
Soma Zaidi...Sababu za kuharibika kwa ujauzito na dalili zake
Dalili za kuharibika kwa ujauzito na dalili za kuharibika kwa ujauzo
Soma Zaidi...Sababu za uke kuwa na harufu mbaya.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa harufu mbaya kwenye uke ukizingatia usafi huwa unafanyika mara kwa mara ila harufu bado inaendelea kuwa mbaya kwa hiyo tutaona sababu hapo chini.
Soma Zaidi...Sababu za maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kama unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa, suluhisho lako lipo kwenye makala hii
Soma Zaidi...Nguzo kuu za umama katika umri wa kupata watoto na kulea watoto
Posti hii inahusu zaidi nguzo kuu za umama katika umri wa kujifungua na kulea watoto, ni kipindi ambacho mama anakuwa analea watoto kwa kawaida kadri ya makadirio kipindi hiki uanza kati ya miaka kumi na mitano mpaka arobaini kwa walio wengi na kinaweza k
Soma Zaidi...Unaweza kuhisi chochote ktk tumbo ukiwa na wiki mbili? Na je ukibonyeza tumbo utahisi chochote ukiwa ns wiki
Ni mida gani njamzito ananza kuhisi kuwa tumboni anebeba mtoto.
Soma Zaidi...