Fahamu tiba ya jino

Post hii inahusu zaidi tiba ya jino,ni tiba ya kawaida kwa watu walio na matatizo ya meno, kwa kawaida tunafahamu kwamba jino huwa halina dawa ila dawa yake huwa ni kungoa lakini Leo nawaletea habari njema kwamba jino sio kungoa tena ila Kuna tiba ambayo

Fahamu tiba muhimu ya jino.

1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu mahitaji muhimu kwenye tiba yetu hii ya jino ndipo tutaweza kuendelea kutumia tiba hii .

 

2. Chukua mdalasini utwange vizuri mpaka uwe unga Kuna wengine wanaanika na wanaamua kutengeneza unga, chukua unga huu vijiko kama vitani hivi na uvitenge.

 

3. Pia chukua karafuu zisage vizuri na uhakikishe kuwa zimekuwa na unga wa kutosha na andaa vijiko vitano vya chai.

 

4. Pia andaa pilipili na sio kila aina ya pilipili inafaa kwa kutumia cha msingi unapaswa kutumia pilipili manga, zichume zikaushe vizuri na saga Ili kupata unga wa kutosha ila Kuna wengine huwa wanasaga pia wanaanika  vizuri pia wanatoa unga wa kutosha na hivyo pima vijiko viwili vya chai.

 

5. Vile vile tumia asali mbichi kiasi cha robo Lita .

Baada ya kuchukua unga wa mdalasini,unnga wa karafuu, unga wa pili pili manga na asali mbichi changanya kwa pamoja na viweke sehemu nzuri kwa ajili ya matumizi.

 

6. Pamoja na kupata tiba ya namna hii ni vizuri kabisa kuhakikisha kwamba unatumia kwa uaminifu na pia matumizi ya dawa hii sio kwamba unapaswa kuacha ushauri wa daktari hapana ni vizuri kabisa kutumia ushauri wa daktari kama jino limekuwa na matatizo zaidi kwa sababu Kuna wakati mwingine watu wanaachia kufuata mashart ya daktari kwa kutumia dawa holela holela. Kwa hiyo Ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya ni muhimu kabisa.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/25/Monday - 10:46:29 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1224


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-