Faida za chanjo

Posti hii inahusu zaidi faida ya chanjo, tunajua wazi kuwa chanjo Ina faida kubwa kwenye mwili wa binadamu na vile vile kwenye jamii kama tutakavyoona hapo chini.

Faida za chanjo.

1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa chanjo utokana na wadudu au bakteria wanaosababisha ugonjwa huo na bakteria hao hawawezi kuleta madhara kwenye mwili wa binadamu na  uweza kuleta kinga kwenye mwili wa binadamu, kwa hiyo tunaweza kupata faida za chanjo kama ifuatavyo.

 

2.Chanjo usaidia kuzuia Magonjwa mbalimbali.

Kutokana na chanjo tunaweza kuzuia magonjwa mbalimbali kama vile kifua kikuu,uti wa mgongo, kuharisha, kupooza, pepopunda, kifadulo na Surua haya ni magonjwa ambayo yalikuwepo kwa mda mrefu na sasa yamepungua kwa kiasi  kwa hiyo tunapaswa kuendelea kupata chanjo ili kuweza kuepuka Magonjwa mbalimbali kwenye jamii.

 

3.Chanjo pia zimepungua Magonjwa ya  ulemavu.

Tunajua wazi kuwa Magonjwa mengi ya ulemavu yamepungua kutokana na kuwepo kwa chanjo kwa mfano Magonjwa ya kupooza kimepungua sana sasa hivi kwenye jamii kutokana na kuwepo kwa chanjo. Kwa hiyo tunapaswa kuwahimiza jamii  ili waweze kuwapeleka watoto kupata chanjo.

 

4.Chanjo pia zimesaidia kupata ajira.

Tunajua kuwa kuna watu ambao wamepata ajira kutokana na kuwepo kwa chanjo kwa mfano manes wengi wameweza kupata  ajira kutokana na kuwepo kwa chanjo kwa hiyo wameweza kuendesha familia zao.

 

5.Kwa hiyo tunapaswa kuwahimiza jamii nzima ili waweze kuona umuhimu wa chanjo na kuweza kuwapeleka watoto wao ili kuepuka Magonjwa mbalimbali na kuepuka madhara kwenye jamii.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/13/Sunday - 07:26:19 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 851

Post zifazofanana:-

Funga za Sunnah na umuhimu wake
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo
Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo chini ya umri wa miaka mitano ili kuweza kuweka afya yake kwenye njia safi. Soma Zaidi...

Sababu zinazosababishwa na bacteria aina ya Salmonella.
'Bakteria aina ya Salmonella huishi ndani ya matumbo ya watu, wanyama na ndege.' Watu wengi wameambukizwa salmonella kwa kula vyakula vilivyochafuliwa na kinyesi.' Soma Zaidi...

Fahamu Faida za Uzazi wa mpango
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida za Uzazi wa mpango. Uzazi wa mpango ni huduma ambazo hutoa chaguo kwa familia kuwa na idadi ya watoto wanaotaka katika muda maalum, wanahisi na mbinu iliyoamuliwa. Soma Zaidi...

Namna ya kumsaidia mtoto mwenye UTI
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia mtoto akiwa na ugonjwa wa UTI. Soma Zaidi...

Ratiba ya chanjo ya kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kifua kikuu, hiii ni ratiba ambayo chanjo hii utolewa na ushauri mbalimbali utolewa ili kuweza kufanikisha kazi ya chanjo hii Soma Zaidi...

Faida kula fenesi
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula fenesi Soma Zaidi...

Maambukizi ya H.pylori (Vidonda vya tumbo)
Maambukizi ya H. pylori hutokea wakati aina ya bakteria inayoitwa Helicobacter pylori (H. pylori) inapoambukiza tumbo lako. Hii kawaida hutokea wakati wa utoto. Sababu ya kawaida ya Vidonda vya tumbo, maambukizi ya H. pylori yanaweza kuwa katika za Soma Zaidi...

Kazi za vitamin B na makundi yake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi za vitamin B na makundi take Soma Zaidi...

Dalili za Utasa wa wanaume
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Utasa wa Mwanaume hutokana na uzalishaji mdogo wa mbegu za kiume, utendakazi usio wa kawaida wa manii au kuziba kwa manii ambayo huzuia utoaji wa mbegu za kiume. Magonjwa, majeraha, matatizo ya kiafya sugu, u Soma Zaidi...

Chanzo cha tezidume, dalili zake na tiba zake.
Post hii inakwenda kukufunza mambo mengi kuhusu tezi dume kama chanzo, dalili, matibabu, njia za kujikinga na mambo hatari yanayoweza kukusababishia kupata tezi dume. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa kisukari wakati wa ujauzito.
Posti hii inaelezea ugonjwa wa kisukari wakati mama akiwa mjamzito.na yafuatayo ni Mambo hatari yanayotokea wakati Mama akiwa na ujauzito. Soma Zaidi...