image

Faida za juice ya tende.

Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida zake na kuna wengine hawajui wanaitumia kama mazoea tu, ila kuna ambao hawajui kabisa basi zifuatazo ni faida za juice ya tende kwa wal

Faida za juice ya tende.

1. Kwanza kabisa juice ya tende usaidia kuongeza nguvu za kiume kwa sababu hili ni tatizo kubwa kwa hiyo wenye tatizo hili mnapaswa kuitumia.

 

2.pia usaidia usaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa, kuna wale ambao hata kwenye tendo wanakuwa hawaishi chochote kwa hiyo kwa kutumia juice ya tendo watafaidika sana.

 

3. Usaidia kwenye afya ya mama na mtoto, kwa kuwepo kwa virutubisho mbalimbali kwenye juice ya tende usaidia afya ya mama mjamzito na kichanga.

 

4. Pia juice hii usaidia sana kuondoa sumu mwilini hasa sumu za pombe kwa wale ambao wanakunywa pombe sana na kwa mda mrefu wanapaswa kutumia juisi hii.

 

5. Pia juice hii usaidia kukinga magonjwa hasa magonjwa ya kansa za tumbo na pia uzuia kuharisha .

 

6. Vilevile hii juice usaidia katika mchakato mzima wa mmeng'enyo wa chakula kwa sababu juice hii usaidia chakula kiweze kumengenywa vizuri.

 

7. Juice ya tende uondoa hatari ya kupata choo kigumu, ukosefu wa choo, kuwepo kwa gesi tumboni na matatizo kwenye upande wa choo.

 

8. Vilevile juice hii usaidia kuondoa uchovu, hasa hasa wakulima wengi vijijini wakitoka shambani mara moja utumia juice ya tende ili kuweza kuondoa uchovu wowote na kuendelea na shughuli zao za kawaida.

 

9. Usaidia mishipa kuweza kufanya kazi vizuri kwa hiyo kwa watumiaji wa juice ya tende wanaweza kuwa mna mzunguko mzuri wa damu kwa sababu juisi hii ufanya kazi kwenye mishipa ya damu.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 6641


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Vyakula vya kupunguza presha ya kupanda
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula ambavyo vinaweza kupunguza presha ya kupanda Soma Zaidi...

Yajuwe magonjwa matano yanayo tokana na utapiamlo
Post hii inakwenda kukutajia mahonjwa matano ambayo hutokana na utapia mlo. Soma Zaidi...

FAIDA ZA MATUNDA MBALIMBALI
1. Soma Zaidi...

VYAKULA VYENYE PROTINI KWA WINGI
hivi ndio vyakula vya protini kwa wingi, maziwa, mayai, samaki, dagaa, nyama, maini. Endelea na zaidi Soma Zaidi...

Vyakula vyenye protini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vyenye protini kwa wingi Soma Zaidi...

Ulaji wa protini unasaidia kupunguza unene
Soma Zaidi...

Zijue Faida ya kula tunda la tango.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida za kula tango japokuwa watu wengi hulipuuzia Ila Lina Faida kubwa Sana mwilini. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Palachichi
Soma Zaidi...

VYAKULA VYA VITAMIN NA MAJI
Zitambue aina zote za vyakule na ufanye maamuzi yaliyo kuwa sahihi katika uandaaji wa chakula chako Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula spinach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach Soma Zaidi...

Vyakula hatari na salama kwa vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari na salama kwa vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kisamvu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kisamvu Soma Zaidi...