Posti hii inahusu zaidi faida za kahawa mwilini, ni faida ambazo ujitokeza hasa kwa watumiaji wa kahawa.
Faida za kahawa mwilini.
1.Kahawa usaidia kuchangamana mwili.
Kahawa ufanya kazi hiyo kwa sababu ya kuwepo kwa caffeine kwanye kahawa ndio maana watu wengi uitumia wakati wa baridi.
2. Pia kahawa usaidia kuyeyuka kwa mafuta mwilini kwa sababu yenyewe haina mafuta ambayo yanaweza kufanya mwili kushindwa kusafilisha damu kama zilizotabia za vyakula vingine.
3. Pia huwa na virutubisho muhimu
Kwa mfano kahawa ina mangenese na potassium na tena ina mangenese na niocine ambazo ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili wa binadamu.
4. Pia kahawa usaidia kutunza kumbukumbu na kwa hiyo wanywaji wa kahawa wako vizuri kwenye kutunza kumbukumbu.
5.vili vile matumizi ya kahawa ukabili maradhi ya moyo na kiharusi kwa wanywaji wa kahawa ni mara chache kushambuliwa na magonjwa haya.
6. Kahawa usaidia kuondoa sumu mwilini na kufanya Mgonjwa aishi kwa mda mrefu.
7. Kahawa kuondoa msingo wa mawazo.
Kwa kawaida kahawa ikitumika usaidia kuchangamana mwili na hivyo msongo wa mawazo uweza kuondoka.
8. Kwa hiyo kahawa ina faida nyingi sana mwilini kwa hiyo wale ambao hawana shida ya kutumia kahawa wanapaswa kutumia nili kuweza kuondoa baadhi ya magonjwa mbalimbali.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndimu au limao
Soma Zaidi...Kitunguu saumu ni tiba mbadala ya presha yabkushuja. Hakitatui tatizo yaani hakiponyeshi, ila husaidia katika kushusha presha iliyo panda.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukutajia mahonjwa matano ambayo hutokana na utapia mlo.
Soma Zaidi...Vyakula hivi vinaweza kuwa na hatai kwenye afya ya meno ama kuharibu kabisa meno.
Soma Zaidi...vitamini B vipo katika makundi mengi kma aB1, B2, B3, B5, B6, B7 na B12. Makala hii itakwenda kukutajia kazi kuu za Vitamini B katika miili yetu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...