Faida za karoti
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za karoti na umuhimu wake kiafya
Faida za karoti
1. Karoti Ina virutubisho Kama vile sukari, fati, protini, vitamin A, B na K pia madini ya potassium
2. Hupunguza hatari ya kupata saratani
3. Hushusha cholesterol mbaya mwilini
4. Husaidia katika kupunguza uzito
5. Huboresha afya ya macho
6. Karoti Ni nzuri kwa afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
7. Hudhibiti kiwango cha sukari mwilini
8. Hulinda afya ya moyo na mishipa ya moyo
9. Husaidia kuboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
10. Husaidia katika kulinda afya ya mifupa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 web hosting 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Namna nzuri ya kuandaa mchai chai kwa matumizi mbalimbali
Posti hii inahusu zaidi namna nzuri ya kuandaa mchai chai kwa ajili ya matumizi mbalimbali, Ili kutumia mmea wa mchai chai zifuatazo ni mbinu za kuandaa mmea huu.
Soma Zaidi...Kitabu cha Afya 02
Kama tulivyosema hapo juu kuwa afya ni kuwa mzima kimwili na kiakili.
Soma Zaidi...