Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fenesi
. Faida za kiafya za kula fenesi
1. lina virutubisho vingi kama vitamini A, na C, pia kuna wanga
2. Huimarisha mfumo wa kinga
3. Ni chakula kinachotia nguvu
4. Huboresha afya ya moyo na mishipa ya damu na kuthibiti presha
5. Huzuai kukosa choo
6. Huzuia mwili dhidi ya kupata saratani
7. Huboresha afya ya macho
8. Husaidia kuimarish afya ya mifupa
9. Husaidia kuzuia pumu
10. Ni zuri kwa afya ya ngozi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin K
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza Mifumo ya mwili inayotoa sumu. Ushahidi wa kitaaluma kuhusu nafasi ya matunda na mboga kwenye detox. Aina za matunda na mboga zenye ufanisi. Kanuni za matumizi salama.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo,
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...