Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kisamvu
Faida za kiafya za kula kisamvu
1. kisamvu ni kizuri kwa wanawake wajawazito kwani kina vitamini C vingi
2. Husaidia kupambana na kwashoorkor (kwashiakoo) aina ya utapiamlo
3. Majani ya kisamvu yakipondwa husaidia kuondosha homa na maumivu ya kichwa
4. Hutibu kuhara unasanga majani
5. Hutibu tatizo la macho kutokuona vyema unachemsha majani ya kisamvu pamoja na tangawizi na chumvi
6. Huongeza hamu ya kual chemsha kisamvu, tangawizi na chumvi kisha kunywa
7. Hutibu minyoo
8. Husaidia kuchelewa kuzeheka
9. Hutibu stroke
10. Huongeza stamina
11. Husaidia katika kupona kwa vidonda na majeraha kwa haraka
12. Huboresha mfumo wa kinga
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga
Soma Zaidi...Posti hii moja kwa moja inaenda kuelezea vyakula vya nyuzinyuzi zinazopatikana kwenye matunda na mboga mboga.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi/peas
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kwa ujumla wake.
Soma Zaidi...Mpaka sasa hakuna dawa ya kuponyesha saratani wala kinga ya saratani. Hata hivyo vipo vyakula ambavyo vinakadiriwa kuwa hupunguza hatari ya kuweza kupata saratani. Je unadhani uyoga ni moja ya vyakula hivyo?
Soma Zaidi...Vyakula hivi vinaweza kuwa na hatai kwenye afya ya meno ama kuharibu kabisa meno.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha hatari za kupaliwa na asali ama kitu kingine kama muulizaji alivyouliza.
Soma Zaidi...