Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi
Faida za kula magimbi
1. Magimbi yana virutubisho Kama vitamin B6, C na E, protin na fati pia yana madini ya phosphorus, potassium, shaba, manganese na magnesium
2. Hudhibiti kiwango cha sukari
3. Hupunguza kasi ya mmeng'enyo wa chakula
4. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo na mishipa ya damu
5. Huboresha afya ya utumbo
6. Hulinda mwili dhidi ya mashambulizi
7. Magimbi yana chembe chembe ambazo hulinda mwili dhidi ya saratani na kuzuia seli za saratani mwilini
8. Husaidia katika kupunguza uzito
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya hatari kwa mjamzito hasa mimba changa
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna au njia za kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba ya homoni imbalance kwa wanawake.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula vyenye madini kwa wingi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyakula anavyopaswa kutumia mwenye matatizo ya uti wa mgongo, ni vyakula ambavyo upunguza makali kwenye uti wa Mgongo.
Soma Zaidi...