Faida za kiafya za kula maini

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini

Faida za kiafya za kula Maini

1. husaidia katika kuipa miili yetu nguvu za kutosha

2. Huboresha afya ya ngozi

3. huimarisha afya ya mifupa

4. Maini ni chakula kizuri kwa afya ya moyo

5. Husaidia kuboresha afya ya ubongo

6. Ni chakula kizuri kwa ukuaji wa misuli

7. Huondosha sumu mwilini

8. Husaidia katika kulinda mwili dhidi ya saratani

9. Huupanguvu mfumo wa kingaJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-27     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2726


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

FAIDA ZA KULA ZABIBU
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula pera
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pera Soma Zaidi...

Faida za nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula njegere, kunde, mbaazi, njugu mawe na maharage
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula njegere, kunde, mbaazi, njugu mawe na maharage Soma Zaidi...

VINYWAJI SALAMA KWA MWENYE KISUKARI
Kuchaguwa vinywaji si jambo rahisi, lakini inabidi iwe hivyo kama una tatizo la kisukari. Je unasumbuka kujuwa vinywaji salama? makala hii ni kwa ajili yako, hapa tutaona vinywaji ambavyo ni salama kwa mwenye kisukari. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula panzi, senene na kumbikumbi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula senene, panzi na kumbikumbi Soma Zaidi...

Faida za kula embe
Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin C
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin C Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin B
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamin B Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kunazi/ lote tree
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree Soma Zaidi...

Chungwa (orange)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange Soma Zaidi...

Faida za chungwa na chenza ( tangarine)
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini Soma Zaidi...