FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA PANZI, SENENE NA KUMBIKUMBI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula panzi senene na kumbikumbi


Faida za kiafya za kula panzi, senene, kumbikumbi na mffano wake

? 1. Tunapata protini kwa kiasi kikubwa

? 2. huboresha mfumo wa kinga

? 3. huongeza afya ya meno na mifupa

? 4. hulinda mwili dhidi ya kupata anaemia

? 5. ni tiba nzuri ya maradhi ya puru

? 6. husaidia katika kuboresha na kulinda seli dhidi ya uharibifu

? 7. Ni chakula kizuri kwa afya ya ubongo

? 8. ni chakula kizuri kwa maendeleo ya ukuaji wa mtoto aliyeko tumboni

? 9. huborehsa agya ya ubongo.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Karoti
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karoti Soma Zaidi...

image Nazi (coconut oil)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

image Papai (papaya)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula mihogo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mihogo Soma Zaidi...

image FAIDA ZA KULA ZABIBU
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

image Faida za kula ndizi
Somo hiki linakwenda kukueleza faida za kiafya za kula ndizi Soma Zaidi...

image Faida za kula passion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion Soma Zaidi...

image Faida za kula bamia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...

image Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula kungumanga/nutmeg
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg Soma Zaidi...